Alikataa nisimuoe kisa ualimu

Alikataa nisimuoe kisa ualimu

Anakurudia tena baada ya kupigisha mitaani na kuchina eti umekuwa mtu muhimu sasa?

Wanajifanyaga matawi ya juu halafu wanakuwa chakula ya wakware baada ya kudanganywa sana huku muda ukisonga.

Wakishtuka wanakuta wamekuwa maskrepa.

Acha upumbavu wako,achana naye huyo.Kama una nyegezi kapige wengine huyo hakufai tena,mwanzoni alikudhalilisha.

Mkuu wewe ni mijinga sana ingawa una ndevu na nywele nyingi sehemu zingine za mwili zinazoonekana na zisizoonekana.

Mjinga sana wewe.
Miaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM .
Hakika tulipendana na kuendana sana ila alikuwa sister duu sana hakupenda niseme kuwa mimi ni mwalimu by professional eti nitamtia aibu kwa marafiki zake.

Baada ya sisi wote kuhitimu sikumaliza hata mwezi nikapata kazi kufundisha St Anton mbagala na nilikuwa napata take home 700k kwa mwezi huku yeye akiwa bado anahaha kutafuta ajira but haikuwa issue nilimpa kila alichokitaka kadri ya uwezo wangu nikapanga nimuoe.

Kumwambia nimuoe akagoma eti hawezi kuolewa na mwalimu aina yeyote ni aibu kubwa sana kwake na familia yake sio siri niliumia sana but kwakuwa mimi sipendi fake love nikaamua bora tuachane.

Ktk pitapita zangu nikakutana na mtoto Glory ambaye alikuwa anasoma KCMC bachelor of Medicine akanipenda kweli na Inshaalah nilimuoa na mpaka sasa ni mke wangu na tumezaa watoto wawili.

Huwezi amini ile dharau ya Rechael ilinifanya nirudi shule kusoma zaidi na sasa Alhamdulillah nimefika sehemu nafanya kazi nzuri zaidi kwa maslahi zaidi huku nikiwa na miradi kibao hapa mjini ikiwemo uber, bodaboda, maduka etc.

Leo ktk pitapita zangu mitandaoni nikakutana na friend request kucomfirm kumbe ni Rechael akiniuliza maswali kibao na kunilaumu eti yeye ilikuwa ni ujana na ujinga tu tu hivyo haikuwa akili yake akaomba nimsamehe sana kwani bado ananipenda sana.

Nikamwambia siunajua kuwa nina mke sasa kajibu ndio ila yeye hajali na hawezi kubali kunitoa moyoni ni utoto tu hivyo yupo tayari nimuoe mke wa pili nikakumbuka wimbo wa "barua" ya Bushoke aliposema "kumpenda bado ninampenda msemakweli mpenzi wa Mungu" ila ninachofikiria ni mke wangu wa sasa.

Nimuoe mke wa pili au nimfanye outside chick hizo ni option nilizojipa coz bado ninampenda ukizingatia ni mtoto wa kiislamu full maadili bikra yenyewe kikombe nimekidondosha mimi kikavunjika!
Ila je ananipenda tu nikiwa na hadhi je nikiporomoka itakuwaje mana mshika mawili moja humponyoka au kukosa yote.

Nishaurini wadau ila naomba ushauri kutoka wanajf ambao atleast wana 30 yrs na kuendelea mana jf ya sikuhizi utoto mwingi
 
Ningeomba uongozi wa jamii forumn uwe unawadai hawa wanaotumia stori au habari za huku bila hata kutaja kua jf ni source...

Nipo nasikiliza redio flani ya mbeya muda huu wanaisoma hivihivi hicho kisa ,harafu hawasemi kua si yao...

Redio enyewe inaitwa bigstar
 
nilikua nataka nishushe bonge la comment lkn ngoj nijizuie... BROO TOSHEKA NA MKE WAKO
 
Yaan kama ni side chick tafuta mwingine na sio huyo ex wako, amekutafuta coz kaona una mafanikio ko atakua tegemezi vzr!!!! Na ukiwa nae atakunyonya tu uchumi wako hakuana anachokitaka kwako
Haiwezekani mpaka uoe uwe na watoto wawili ndo akutafute
The kama alikukataa unachukua laki 7 kwa mwezi, ina maana alikua natika na wanaume wanaochukua milioni au zaid kwa mwezi, hivyo kaona na ww una uhakika kwa kutoka na zaidi ya milioninkwa mwezi ndo umekidhi vigezo vyake
Piga chini, kaza moyo tu, vitu vingine tunaviacha huku moyo unauma lkn kwa ajili ya ku secure maisha yako itabidi uache tu
Kumbuka vitani unamuua hadi baba yako mzazi kwa sababu tu kasimama upande wa adui ila maumivu unauoyapata ni siri yako
Hivyo hata kama unampenda achana nae ikiwezekana acha kuwasiliana nae kabis utamsononesha mkeo tu!
Narudia tena kama ni side chick tafuta mwingine
 
Sure kweli kabisa kama side chick atafute mwingine
Unaanza kuleta utoto sasa ...utapataje ushauri wa watu wenye experience kwa muelekeo wa suala lako...maana unachotaka ushaonyesha ila unazuga tu....acha kutuaibisha...kam yeye alikuwa hatakai mume alikuwa anataka title ya kazi...sasa yanini umefanye side chick..au 2nd wife...bora kasake 2nd wife mwingine sio huyo
 
Hii tabia wanayo sana wanawake wanakukataa mwanaume wakat huna ela, ukishakuwa na maisha flan ambayo sio lazima yawe juu sana wanarudi tena kwa kukulaumu mwanaume, huyo chana naye atakuvurugia ndoa yako na familia
 
IFM na CBE wadada wanajisikia sana
Anyway wewe focus na ndoa yako, achana ma huyo kimeo
huyu jamaa aachane a huyo maan am mwenyewe nilimalizaga hapo IFM miak ahiyoo...na sikuwahi kuwa na wadada wa hapo..inshort ni ujinga na utoto na kudanganyana...maisha halisi watu hawajui..wakishagraduate ndio wanajua mafanikio ni ninni sio title ya course..yani ni kichwani una nini..wenzetu walioendelea utakuta mtu ni executie director kaolewa na mtu ana kazi ya kawada hata mcoraji yani....tatizo mindset EXPOSURE .....ulimbukeni yote yote.....mtu hampendi mtu anapenda Title hata ukiwa na title hun ahela ukafake unazo utapendwa ...
 
Miaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM .
Hakika tulipendana na kuendana sana ila alikuwa sister duu sana hakupenda niseme kuwa mimi ni mwalimu by professional eti nitamtia aibu kwa marafiki zake.

Baada ya sisi wote kuhitimu sikumaliza hata mwezi nikapata kazi kufundisha St Anton mbagala na nilikuwa napata take home 700k kwa mwezi huku yeye akiwa bado anahaha kutafuta ajira but haikuwa issue nilimpa kila alichokitaka kadri ya uwezo wangu nikapanga nimuoe.

Kumwambia nimuoe akagoma eti hawezi kuolewa na mwalimu aina yeyote ni aibu kubwa sana kwake na familia yake sio siri niliumia sana but kwakuwa mimi sipendi fake love nikaamua bora tuachane.

Ktk pitapita zangu nikakutana na mtoto Glory ambaye alikuwa anasoma KCMC bachelor of Medicine akanipenda kweli na Inshaalah nilimuoa na mpaka sasa ni mke wangu na tumezaa watoto wawili.

Huwezi amini ile dharau ya Rechael ilinifanya nirudi shule kusoma zaidi na sasa Alhamdulillah nimefika sehemu nafanya kazi nzuri zaidi kwa maslahi zaidi huku nikiwa na miradi kibao hapa mjini ikiwemo uber, bodaboda, maduka etc.

Leo ktk pitapita zangu mitandaoni nikakutana na friend request kucomfirm kumbe ni Rechael akiniuliza maswali kibao na kunilaumu eti yeye ilikuwa ni ujana na ujinga tu tu hivyo haikuwa akili yake akaomba nimsamehe sana kwani bado ananipenda sana.

Nikamwambia siunajua kuwa nina mke sasa kajibu ndio ila yeye hajali na hawezi kubali kunitoa moyoni ni utoto tu hivyo yupo tayari nimuoe mke wa pili nikakumbuka wimbo wa "barua" ya Bushoke aliposema "kumpenda bado ninampenda msemakweli mpenzi wa Mungu" ila ninachofikiria ni mke wangu wa sasa.

Nimuoe mke wa pili au nimfanye outside chick hizo ni option nilizojipa coz bado ninampenda ukizingatia ni mtoto wa kiislamu full maadili bikra yenyewe kikombe nimekidondosha mimi kikavunjika!
Ila je ananipenda tu nikiwa na hadhi je nikiporomoka itakuwaje mana mshika mawili moja humponyoka au kukosa yote.

Nishaurini wadau ila naomba ushauri kutoka wanajf ambao atleast wana 30 yrs na kuendelea mana jf ya sikuhizi utoto mwingi
Wakati tuko shule tulijifunza
Factors for the rise of Mali Empire na baadae zinakuja Factors for the collapse.

Brother, nafahamu unampenda sana ila amini hata siku akimpata wa zaidi yako, atakuacha tena tu.

Najua saizi utasema "Ni wivu tu".

Hebu mpe heshima yake mkeo aliyekuvumilia hadi sasa.
Yawezekana ukimuoa huyo, hata mkeo mkubwa utamshusha thamani yake kwako.

Zakuambiwa changanya na zako. Najua saizi utasingizia kwa kuwa dini inakuruhusu.
 
Back
Top Bottom