Alikataa nisimuoe kisa ualimu

Alikataa nisimuoe kisa ualimu

Yaan kama ni side chick tafuta mwingine na sio huyo ex wako, amekutafuta coz kaona una mafanikio ko atakua tegemezi vzr!!!! Na ukiwa nae atakunyonya tu uchumi wako hakuana anachokitaka kwako
Haiwezekani mpaka uoe uwe na watoto wawili ndo akutafute
The kama alikukataa unachukua laki 7 kwa mwezi, ina maana alikua natika na wanaume wanaochukua milioni au zaid kwa mwezi, hivyo kaona na ww una uhakika kwa kutoka na zaidi ya milioninkwa mwezi ndo umekidhi vigezo vyake
Piga chini, kaza moyo tu, vitu vingine tunaviacha huku moyo unauma lkn kwa ajili ya ku secure maisha yako itabidi uache tu
Kumbuka vitani unamuua hadi baba yako mzazi kwa sababu tu kasimama upande wa adui ila maumivu unauoyapata ni siri yako
Hivyo hata kama unampenda achana nae ikiwezekana acha kuwasiliana nae kabis utamsononesha mkeo tu!
Narudia tena kama ni side chick tafuta mwingine
Hakika wewe ndiye mtu wa pekee mwenye mawazo na misimamo wa ukweli na mawazo ya kiutuuzima !
Ubarikiwe sana.
 
Kwanza kabisa, she is fake na amezunguka kakosa mambwana anaona wewe ndio last option yake, kumbuka you were supposed to be the first option ndugu yangu...HOLD ON TO YOUR WIFE..huyu hata kumla ni hatari sana, daslama ina wanawake wengi sana tena wazuri na hawamjui mkeo, ukitaka kupiga show za nje tifafutie mwanamke mwingine tu ndugu yangu
 
Hii tabia wanayo sana wanawake wanakukataa mwanaume wakat huna ela, ukishakuwa na maisha flan ambayo sio lazima yawe juu sana wanarudi tena kwa kukulaumu mwanaume, huyo chana naye atakuvurugia ndoa yako na familia
Asante kaka
 
huyu jamaa aachane a huyo maan am mwenyewe nilimalizaga hapo IFM miak ahiyoo...na sikuwahi kuwa na wadada wa hapo..inshort ni ujinga na utoto na kudanganyana...maisha halisi watu hawajui..wakishagraduate ndio wanajua mafanikio ni ninni sio title ya course..yani ni kichwani una nini..wenzetu walioendelea utakuta mtu ni executie director kaolewa na mtu ana kazi ya kawada hata mcoraji yani....tatizo mindset EXPOSURE .....ulimbukeni yote yote.....mtu hampendi mtu anapenda Title hata ukiwa na title hun ahela ukafake unazo utapendwa ...
Big up kaka
 
Wakati tuko shule tulijifunza
Factors for the rise of Mali Empire na baadae zinakuja Factors for the collapse.

Brother, nafahamu unampenda sana ila amini hata siku akimpata wa zaidi yako, atakuacha tena tu.

Najua saizi utasema "Ni wivu tu".

Hebu mpe heshima yake mkeo aliyekuvumilia hadi sasa.
Yawezekana ukimuoa huyo, hata mkeo mkubwa utamshusha thamani yake kwako.

Zakuambiwa changanya na zako. Najua saizi utasingizia kwa kuwa dini inakuruhusu.
Asante
 
Baki njia kuu kijana,ukioa mengine unamwachia shetani...
 
Hilo nimeshawahi
Ulimuacha kwa Sababu gani maana nyie mkitaka kumuacha mtu huwa mnavisababu ambavyo havina miguu wala kichwa.

Utasikia naomba nipumzike nimechoka mahusiano/ mara dini tofauti/ mara wewe siyo mwaminifu wakati haujawahi mfumania.
 
Ulimuacha kwa Sababu gani maana nyie mkitaka kumuacha mtu huwa mnavisababu ambavyo havina miguu wala kichwa.

Utasikia naomba nipumzike nimechoka mahusiano/ mara dini tofauti/ mara wewe siyo mwaminifu wakati haujawahi mfumania.
Mi kumuacha mtu ni mpaka unipige matukio ya kinyuklia na nikikuacha nimekuacha sirudi nyuma

Watoto ndo wanaacha mwanaume kwa sababu zisizo eleweka km hizo ulizotaja
 
Back
Top Bottom