Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
- Thread starter
- #141
Matusi sasa ww mwanakum.a/mwanauke/mwanamkeNilisikia wanaume wana balehe mbili eti
Matusi sasa ww mwanakum.a/mwanauke/mwanamkeNilisikia wanaume wana balehe mbili eti
Kwani kuoa mke wa pili dhambiEndelea na mkeo achana na huyo, bila hivyo unachokitafuta utakipata
We umetulia na wako au ndio kuudanganya umaAcha ujinga tulia na mke wako.
Kama alinipa bikra yake bellow 20 leo akinipa ndoa ni mzeeWatu wakiona umr unaenda wako tayar kufanya yasiyo tarajiwa jamani na kujibebsha kwing kumbe wiz mtupu
Kama kawaida yako kwenye mada hizi unazipenda kwlTulia na mkeo mkuu, huyo karudi sababu status yako imebadilika kutoka ualimu to somebody better. Amerudi kuchuma tu hana lolote ,be careful!
Hata yeye hayuko vibaya yupo poa najua kuna alichojifunzaAkili za wanaume mnazijua wenyewe!
Huyo alokupenda ukiwa na uwalimu wako yeye unamuona sio kitu sababu ya mtu alokuacha sababu ya huo huo ualimu?!
Kila la kheri Mkuu, ila usidhani anakupenda wewe anapenda ulicho nacho!
DuhMtetezi.com Mrudie tena safari hii dondosha kikombe cha nyuma kipasuke kisha tupilia mbali!
Ni mzuri mnooooHuyo amekuweza sijuwi kakutega wapi mpaka ukaanza wewe, hapo naona tayari maamuzi umechukua haukuwa na haja ya kuomba ushauri, umemuomba umoe awe mke wa pili akasema hata kesho yupo tayari.
Naamini mwanamke atakayenikataa leo kwa sababu yoyote ile iliye nje ya uwezo wangu hata kesho nikija badilika nitamkataa mimi hata ikiwa ataonesha kunijali kiasi gani.
Mwanamke anayenivumilia kwasasa pamoja na changamoto nilizonazo ndiye yule nitamvumilia mimi.
Kwangu mimi nisingekuwa tayari, ningekuwa radhi ikiwa nitaoa kuoa mwanamke mwingine tofauti kuliko kumuoa yeye.
Hata yeye imebadilika yupo vzurTulia na mkeo mkuu, huyo karudi sababu status yako imebadilika kutoka ualimu to somebody better. Amerudi kuchuma tu hana lolote ,be careful!
Mwanaume rijali hatosheki na mwanamke mmojaAnachofanya ukimkubalia,atataka kureplace nafasi ya Mkeo aichukue yeye,acha upumbavu kama unampenda, usingelimuoa uliyenaye.
Bottom-line statement. Thank youUnachokitafuta UTAKIPATA
Vingi tu. Kimoja hayo majinaLana how
Nimetunga nn
Uzuri wake ukiuzoea hautakuwa ukiuona tena ila tutauona sisi tulio wageni kwake.Ni mzuri mnoooo
Mimi mwenyewe napataga wakati ngumuAkili za wanaume mnazijua wenyewe!
Huyo alokupenda ukiwa na uwalimu wako yeye unamuona sio kitu sababu ya mtu alokuacha sababu ya huo huo ualimu?!
Kila la kheri Mkuu, ila usidhani anakupenda wewe anapenda ulicho nacho!
Sina neno.Mwanaume rijali hatosheki na mwanamke mmoja
Wala usione aibu ya kuwa mkweli! Ndo kazi yako, ndo inayokufanya uishi! ..Mimi mwenyewe napataga wakati ngumu
Sana kujitambulisha mama ake, utakuta rafiki zangu IT expert makao makuu NMB, treasurer TBL, Municipal engeering kinondoni. Environmental expert NEMC.
Mimi sasa ikifika, ahaa nipo mjini naunga unga tu; twapambana huku na pale.
Sakayo upo mama.Wala usione aibu ya kuwa mkweli! Ndo kazi yako, ndo inayokufanya uishi! ..