Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,377
- 2,675
nachelea kusema mauti ya pendo lako na mkeo
Ni kipi hicho
Ni kipi hicho
Football terminologieshii kwa kitaalam tunaita counter attack, na huwa haiji hivihivi inakuwa slowly planned na tunaweza ifananisha na movement of a Russian locomotive train ambayo huwa inaaza kumove slowly then ainachange pace suddenly na kupiga counter attack...... kwako Jesse
Yeah wilaya ya kino but mtaa tofautiMkuu ww unatoka kinondoni sio bure
Hakika nmecheka aseeFootball terminologies
Umeniacha
Mtoto wa kiislam eh aliyekutosa kisa status duh na umesoma vizur kabisa alafu unakuja kuomba ushauri kwa issue ndogo kama hii. Sisi tupo usisahau mrejesho mana nshajue ulichoamuaMiaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM .
Hakika tulipendana na kuendana sana ila alikuwa sister duu sana hakupenda niseme kuwa mimi ni mwalimu by professional eti nitamtia aibu kwa marafiki zake.
Baada ya sisi wote kuhitimu sikumaliza hata mwezi nikapata kazi kufundisha St Anton mbagala na nilikuwa napata take home 700k kwa mwezi huku yeye akiwa bado anahaha kutafuta ajira but haikuwa issue nilimpa kila alichokitaka kadri ya uwezo wangu nikapanga nimuoe.
Kumwambia nimuoe akagoma eti hawezi kuolewa na mwalimu aina yeyote ni aibu kubwa sana kwake na familia yake sio siri niliumia sana but kwakuwa mimi sipendi fake love nikaamua bora tuachane.
Ktk pitapita zangu nikakutana na mtoto Glory ambaye alikuwa anasoma KCMC bachelor of Medicine akanipenda kweli na Inshaalah nilimuoa na mpaka sasa ni mke wangu na tumezaa watoto wawili.
Huwezi amini ile dharau ya Rechael ilinifanya nirudi shule kusoma zaidi na sasa Alhamdulillah nimefika sehemu nafanya kazi nzuri zaidi kwa maslahi zaidi huku nikiwa na miradi kibao hapa mjini ikiwemo uber, bodaboda, maduka etc.
Leo ktk pitapita zangu mitandaoni nikakutana na friend request kucomfirm kumbe ni Rechael akiniuliza maswali kibao na kunilaumu eti yeye ilikuwa ni ujana na ujinga tu tu hivyo haikuwa akili yake akaomba nimsamehe sana kwani bado ananipenda sana.
Nikamwambia siunajua kuwa nina mke sasa kajibu ndio ila yeye hajali na hawezi kubali kunitoa moyoni ni utoto tu hivyo yupo tayari nimuoe mke wa pili nikakumbuka wimbo wa "barua" ya Bushoke aliposema "kumpenda bado ninampenda msemakweli mpenzi wa Mungu" ila ninachofikiria ni mke wangu wa sasa.
Nimuoe mke wa pili au nimfanye outside chick hizo ni option nilizojipa coz bado ninampenda ukizingatia ni mtoto wa kiislamu full maadili bikra yenyewe kikombe nimekidondosha mimi kikavunjika!
Ila je ananipenda tu nikiwa na hadhi je nikiporomoka itakuwaje mana mshika mawili moja humponyoka au kukosa yote.
Nishaurini wadau ila naomba ushauri kutoka wanajf ambao atleast wana 30 yrs na kuendelea mana jf ya sikuhizi utoto mwingi
Ndicho nilichoamua nimtumie hata mwaka nikimchoka nitemane nayeMfanye mchepuko usioe Hilo ni jipu
Sawa mwanaumeUnaweza ukawa bado mvulana, ungekuwa mwanaume ungeshapata jibu
Kama ushaelewa basi pita kuleeMtoto wa kiislam eh aliyekutosa kisa status duh na umesoma vizur kabisa alafu unakuja kuomba ushauri kwa issue ndogo kama hii. Sisi tupo usisahau mrejesho mana nshajue ulichoamua
Rachel halafu binti wa kiislamu. Pia take home st anthony si 700k

Kuoa au kuacha ni juu yako.Miaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM .