Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,602
- Thread starter
- #121
SawaUsikute hapo anachati na Mariam muuza mbogamboga, anawaletea habari za Rachel wa IFM....

Mkuu mm naona utoto unao wewe hapo, achana nae move onMiaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM .
Hakika tulipendana na kuendana sana ila alikuwa sister duu sana hakupenda niseme kuwa mimi ni mwalimu by professional eti nitamtia aibu kwa marafiki zake.
Baada ya sisi wote kuhitimu sikumaliza hata mwezi nikapata kazi kufundisha St Anton mbagala na nilikuwa napata take home 700k kwa mwezi huku yeye akiwa bado anahaha kutafuta ajira but haikuwa issue nilimpa kila alichokitaka kadri ya uwezo wangu nikapanga nimuoe.
Kumwambia nimuoe akagoma eti hawezi kuolewa na mwalimu aina yeyote ni aibu kubwa sana kwake na familia yake sio siri niliumia sana but kwakuwa mimi sipendi fake love nikaamua bora tuachane.
Ktk pitapita zangu nikakutana na mtoto Glory ambaye alikuwa anasoma KCMC bachelor of Medicine akanipenda kweli na Inshaalah nilimuoa na mpaka sasa ni mke wangu na tumezaa watoto wawili.
Huwezi amini ile dharau ya Rechael ilinifanya nirudi shule kusoma zaidi na sasa Alhamdulillah nimefika sehemu nafanya kazi nzuri zaidi kwa maslahi zaidi huku nikiwa na miradi kibao hapa mjini ikiwemo uber, bodaboda, maduka etc.
Leo ktk pitapita zangu mitandaoni nikakutana na friend request kucomfirm kumbe ni Rechael akiniuliza maswali kibao na kunilaumu eti yeye ilikuwa ni ujana na ujinga tu tu hivyo haikuwa akili yake akaomba nimsamehe sana kwani bado ananipenda sana.
Nikamwambia siunajua kuwa nina mke sasa kajibu ndio ila yeye hajali na hawezi kubali kunitoa moyoni ni utoto tu hivyo yupo tayari nimuoe mke wa pili nikakumbuka wimbo wa "barua" ya Bushoke aliposema "kumpenda bado ninampenda msemakweli mpenzi wa Mungu" ila ninachofikiria ni mke wangu wa sasa.
Nimuoe mke wa pili au nimfanye outside chick hizo ni option nilizojipa coz bado ninampenda ukizingatia ni mtoto wa kiislamu full maadili bikra yenyewe kikombe nimekidondosha mimi kikavunjika!
Ila je ananipenda tu nikiwa na hadhi je nikiporomoka itakuwaje mana mshika mawili moja humponyoka au kukosa yote.
Nishaurini wadau ila naomba ushauri kutoka wanajf ambao atleast wana 30 yrs na kuendelea mana jf ya sikuhizi utoto mwingi
What partyGet ready for the party
Ulipost ili iweje?? Watoto bhana!Sawa kama ni story pita basi unaisoma ya nn choko niini
pamoja na kwamba uko kwenye ndoa kwa uzi huu,kwa sasa inaonekana na wewe bado unautoto hujakua,japo yeye kakuaMiaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM .
Hakika tulipendana na kuendana sana ila alikuwa sister duu sana hakupenda niseme kuwa mimi ni mwalimu by professional eti nitamtia aibu kwa marafiki zake.
Baada ya sisi wote kuhitimu sikumaliza hata mwezi nikapata kazi kufundisha St Anton mbagala na nilikuwa napata take home 700k kwa mwezi huku yeye akiwa bado anahaha kutafuta ajira but haikuwa issue nilimpa kila alichokitaka kadri ya uwezo wangu nikapanga nimuoe.
Kumwambia nimuoe akagoma eti hawezi kuolewa na mwalimu aina yeyote ni aibu kubwa sana kwake na familia yake sio siri niliumia sana but kwakuwa mimi sipendi fake love nikaamua bora tuachane.
Ktk pitapita zangu nikakutana na mtoto Glory ambaye alikuwa anasoma KCMC bachelor of Medicine akanipenda kweli na Inshaalah nilimuoa na mpaka sasa ni mke wangu na tumezaa watoto wawili.
Huwezi amini ile dharau ya Rechael ilinifanya nirudi shule kusoma zaidi na sasa Alhamdulillah nimefika sehemu nafanya kazi nzuri zaidi kwa maslahi zaidi huku nikiwa na miradi kibao hapa mjini ikiwemo uber, bodaboda, maduka etc.
Leo ktk pitapita zangu mitandaoni nikakutana na friend request kucomfirm kumbe ni Rechael akiniuliza maswali kibao na kunilaumu eti yeye ilikuwa ni ujana na ujinga tu tu hivyo haikuwa akili yake akaomba nimsamehe sana kwani bado ananipenda sana.
Nikamwambia siunajua kuwa nina mke sasa kajibu ndio ila yeye hajali na hawezi kubali kunitoa moyoni ni utoto tu hivyo yupo tayari nimuoe mke wa pili nikakumbuka wimbo wa "barua" ya Bushoke aliposema "kumpenda bado ninampenda msemakweli mpenzi wa Mungu" ila ninachofikiria ni mke wangu wa sasa.
Nimuoe mke wa pili au nimfanye outside chick hizo ni option nilizojipa coz bado ninampenda ukizingatia ni mtoto wa kiislamu full maadili bikra yenyewe kikombe nimekidondosha mimi kikavunjika!
Ila je ananipenda tu nikiwa na hadhi je nikiporomoka itakuwaje mana mshika mawili moja humponyoka au kukosa yote.
Nishaurini wadau ila naomba ushauri kutoka wanajf ambao atleast wana 30 yrs na kuendelea mana jf ya sikuhizi utoto mwingi
Insha AllahOngeza mke wa pili. Dini inaruhusu
Na kweli bora umekuwa mkweli mana wengi ni wanafikiTulia na umuheshimu sana mke wako.kumbuka mlikotoka.
Hakuna mtu wa kumtahmin kama alietoka nawe mbali ukiwa chini wengine wakikuona takataka ye akauona dhahabu.
Nasema tena tulia ule wanao achana na hilo dubwasha..
Hivi mkeo akija kugundua huyo unataka kumuoa ndo ex wako nadhani atakudharau kabisa,pia utamshushia heshima.
All in all mtajua wenyewe,nimechoka kushupalia ya watu.
Ni viwakilishi vya nafsi sikupenda kuwatajaGlory sio jina la kiislam, Rachel Pia ila hapa unazungumzia ndoa ya.wake wawil
Anyways labda kama wote wmeshabadl dini
Lana howUkimuoa huyo unaporomoka kiuchumi na laana unapata. Hii story yako kuna vitu umetunga though.
Na nmechagua kuwa naye coz she's so sex na I love her sanaaaKupanga ni kuchagua
Hakuna mwanaume anayeweza kutulia na mke mmojaalooo....baki na mkeo
Kupiga nishapiga sana nimenogewaWe piga afu mpotezee..simple
Ila simu unatumia techino w2Nimesafiri nipo mkoan 4G haipandi mkuu

Adjective mkuuMtoto wa kiislam anaitwa Rachel mabwaku haya
Kizuri kula na wenzioHuyo opportunist achana nae.
Utoto gani sasaTatizo liko kwako Chief
Kwanza nakunasihi
Uache utoto
Kisha
Angalia familia yako ikiwa una akili na msomi kama ulivyojinasibu.
Kunya kunaingiliana nini na huu uzi bro?Kama unahisi kunya kanyee
Sio mzee ana 32 tuMkuu huyo atakuua mzee! Piga chini, songa mbele. Siku ukiyumba kiuchumi tuu kwisha habar yako.