Alikataa nisimuoe kisa ualimu

Alikataa nisimuoe kisa ualimu

Unaanza kuleta utoto sasa ...utapataje ushauri wa watu wenye experience kwa muelekeo wa suala lako...maana unachotaka ushaonyesha ila unazuga tu....acha kutuaibisha...kam yeye alikuwa hatakai mume alikuwa anataka title ya kazi...sasa yanini umefanye side chick..au 2nd wife...bora kasake 2nd wife mwingine sio huyo
 
Demu akikupiga chini kwa dharau hafai tena.
Mzalishe muache aendelee na maisha yake
 
Shetani uyo unamkaribisha kwenye maisha yako mpe nafasi na utakacho kutana nacho utarudi jf unalia we endelea na penzi LA dr wako achana na uyo shetan wa kike mkuu
Asante kaka
 
Back
Top Bottom