Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,602
- Thread starter
- #41
HahahaaHawa wenzetu akiamua akutanulie mapaja wallahi huchomoki,,
Sina ushauri,,
HahahaaHawa wenzetu akiamua akutanulie mapaja wallahi huchomoki,,
Sina ushauri,,
Tatizo moyo mkuuDemu akikupiga chini kwa dharau hafai tena.
Mzalishe muache aendelee na maisha yake
We umetulia na wako?Huyo hata sifa ya kuwa side chick hana!
Tulia na M.D. wako Glory ufaidi maisha mdogo wangu!
Achana naye huyo ambaye alidhani maisha yapo kama tamthilia wanazotaama, atakuharibia maisha/ndoa yako!
Duh!Ambao tunaona Mtoa Post kaleta Chai tupo wangapi? Mtoa post hajui Kuandika Hata Rachel?? na anasema ana Degree ya Mlimani!
Kwani mlimani kuna coz ya kuandika majina acha utotoAmbao tunaona Mtoa Post kaleta Chai tupo wangapi? Mtoa post hajui Kuandika Hata Rachel?? na anasema ana Degree ya Mlimani!
Kwa sababu tuna reason?Duh!
Ww ndio watoto nisiotaka comment zao
Sijui nyie mliofika mlimani mtuambie!Kwani mlimani kuna coz ya kuandika majina acha utoto
Mwambie huyo dogo aache ushambaKwani mlimani kuna coz ya kuandika majina acha utoto
Kupima kwanza ni jambo la msingiKaukwaa anatafuta wa kufa naye
Kiongozi hii ni chaiIFM Hakuna hiyo bachelor of tax and risk management alikua anakudanganya Huyo labda alikua duce
Mlimani tenaAmbao tunaona Mtoa Post kaleta Chai tupo wangapi? Mtoa post hajui Kuandika Hata Rachel?? na anasema ana Degree ya Mlimani!
Rachel halafu binti wa kiislamu. Pia take home st anthony si 700kAmbao tunaona Mtoa Post kaleta Chai tupo wangapi? Mtoa post hajui Kuandika Hata Rachel?? na anasema ana Degree ya Mlimani!
Dogo hii ni Chai. ...Duh!
Ww ndio watoto nisiotaka comment zao