imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 994
Mtetezi.com Mrudie tena safari hii dondosha kikombe cha nyuma kipasuke kisha tupilia mbali!
Hakuna mwanamke anayependa shida hata mmoja ongea ukweliWewe unampenda lakini yeye anapenda economic status yako, jichanganye upoteze familia
By then hata Loan boad walikuwa hawakati yani tulilipwa kama ilivyo coz tulikuwa vibarua mpaka ajira zitoke ndio walikuwa wanaajiri walimu waliotayari kufundisha private na wanaotaka security huwa ajira za gvt zikitoka walikuwa wanaacha kipindi hicho ajira za ualimu zilikuwa za kumwagaRachel halafu binti wa kiislamu. Pia take home st anthony si 700k
Kunywa sasa *****Dogo hii ni Chai. ...
BTW, inakusaidia nini kudanganya kwenye hii platform ukiwa na fake ID!?,____ tuanzie hapa kwanza.
Sio kweli ni upendo tu hata miaka yote alikuwa bussy na mambo yakeKadanga wee utamu umeisha anarejea kwako
SawaBas fata moyo wako kama ndo tatizo iv huwa najiulza mtu mlishaachana moyo huwa unarudije hyo mechanism mbona haiingii akilin
Sawa kama ni story pita basi unaisoma ya nn choko niinihahaha.. hiyo binti wa kiislamu nilisahau.. kiufupi jamaa hajajipanga kuandika hii story!
Lipi mkuuAnataka akuangushie jumba bovu.
Rechel nimetumia kama kiwakilishi tu Anaitwa MaryamNashauri kwa suala LA dini owa mwingine sio Rachel na sijui hawa Rachel wanamatatizo gani kwa kweli
Kama unahisi kunya kanyeeNahisi hizi stori ni za kutunga maana zimekuwa nyingi sana..
Kuwa mbaili kama unapata 700k kula 200k save 500k baada ya mwaka unafungua mradi wa kukuingizia 500k kwa mwezi ukichanganya na ile inakumwa1m as a month saving mara mwaka unapata IST inakuingizia 900k kwa mwezi mara mwaka unapata 15+ hujawa na maisha mazuri tu mkuuSijui Mm nakosea wap naona wote humu mnamaisha mazuri wake wazuri elimu ya kiwango
Tupeni na Ss technique za kusaka hiyo mihela jaman
AsanteIla Nakushauri baki na mkeo, utakuja kujuta kumwacha. Kama hakukuthamini mwanzo, ikitokea mwingine akamthamini usitegemee atakaa kwako. Kama angekuwa na upendo, angelitulizana toka mwanzo.
Ogopa upendo wa mtu akiwa kwenye matatizo
Nimesafiri nipo mkoan 4G haipandi mkuu
Tafswida mkuuSasa umefuta nini wakati screenshot inasema una reply kwa mariam ? Unasema Rachel ili kupunguza makali.
Ushauri uyo dada achana nar
Nakufaje sasaDah...achana na maneno ya watu....nenda kafe kiume,![]()
Hata yeye hayuko vbayaPunguza tamaa,amerudi sababu umepiga hatua tayari.Mpotezee atakupotezea muda na pesa.
Upi huo chakubanga?Unatia aibu wanaume, acha upumbavu....