scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,732
Bas fata moyo wako kama ndo tatizo iv huwa najiulza mtu mlishaachana moyo huwa unarudije hyo mechanism mbona haiingii akilinTatizo moyo mkuu
Bas fata moyo wako kama ndo tatizo iv huwa najiulza mtu mlishaachana moyo huwa unarudije hyo mechanism mbona haiingii akilinTatizo moyo mkuu
hahaha.. hiyo binti wa kiislamu nilisahau.. kiufupi jamaa hajajipanga kuandika hii story!Rachel halafu binti wa kiislamu. Pia take home st anthony si 700k
Hahaha msome vizuriMlimani tena
Anataka akuangushie jumba bovu.How mkuu
Nlijua udsmHahaha msome vizuri
Ndio hapo hapo!Nlijua udsm
Ila Nakushauri baki na mkeo, utakuja kujuta kumwacha. Kama hakukuthamini mwanzo, ikitokea mwingine akamthamini usitegemee atakaa kwako. Kama angekuwa na upendo, angelitulizana toka mwanzo.Kupima kwanza ni jambo la msingi
Mkuu unatumia mtanda unasoma "E" watu tupo 4G+
Halafu sijui anatumia tecno W2







Bora utafute mwingine mzee,kuliko huyoWanaume tunarizika mke mmoja boss
Maryam ni nini?