Alichosema Dr Mashinji kuhusu chaguzi

Alichosema Dr Mashinji kuhusu chaguzi

Hapa namkubali sana mama mshumbushi, alikabiliana na ffu kule arusha kisawasawa, sasa hawa wasanii kusikia bomu la machozi hao wakalala mbele,

Hivi hao wakurya waliowakodi bado wako dar tu?
wako beach naona wanashangaa bahari
 
Pumbavu kabisa
Ukisoma nilichoandika na ulichoandika wewe utajua nani hana akili, maana hata mwanao huwezi kumuonesha ulichoandika.
Tatizo watu hawataki kufikiri au wanafikili kwa kutumia vitu visivyohusika kwenye kufikiri
 
I will always side with the underdog!

Underdog's side is the righteous side!

CCM is really bad for any human being including CCM members themselves!
 
Sisi akina Nani si mlisema Salimu atashinda? Jana Mawakala wenu si wamekula Kiapo?
Sasa mbona leo mmewakataza kuingia baadhi ya vituo ili mpitishe kura zenu feki??
 
Kupitia Account/ ukurasa wake wa Twitter Dr Mashinji amekubali Matokeo hata kabla ya Kutangazwa na anaganga ya Chaguzi zijazo sisi vidagaa tumuunge mkono Dr. Mashinji uchaguzi umeisha.


Rudi shule ukasome we msukule,umeandika kitu gani hapo?MATOLE?
 
Mkuu Poise
Umesema jambo ambalo no muhimu kuliangalia CUF nako wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe
 
Sasa hiyo ni kukubali matokeo??

Yeye kasema ni lazima kama chama kitafakari njia mpya ya kukabiliana na dhuluma hizo za CCM kutegemea kubebwa na mbeleko za Tume ya uchaguzi na Jeshi la Polisi
mkuu unafikiri huyu hajaelewa kilichoandikwa na Dr mashinji? Aanajichetua tu.
 
Mkuu Poise
Umesema jambo ambalo ni muhimu kuliangalia CUF nako wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom