Kupitia Account/ ukurasa wake wa Twitter Dr Mashinji amekubali Matokeo hata kabla ya Kutangazwa na anaganga ya Chaguzi zijazo sisi vidagaa tumuunge mkono Dr. Mashinji uchaguzi umeisha.
hahaha raha sana mkuu
wewe wa ajabu sanaUmefungua ID mbili unacoment nakujijibu.
Hizii ID ni kwaajili ya huu uchaguzi mdogo au niendelevu???
Kupitia Account/ ukurasa wake wa Twitter Dr Mashinji amekubali Matokeo hata kabla ya Kutangazwa na anaganga ya Chaguzi zijazo sisi vidagaa tumuunge mkono Dr. Mashinji uchaguzi umeisha.
tumbo lake analijali zaidi kuliko vyoteMbowe alifanya vurugu makusudi jana ili kichapo kitembee na kupunguza kura za Chadema makusudi.
Vijana wengi wanatajwa kutokupiga kura leo sijui nani mshauri wa Mbowe kwa maamuzi yale kwa kweli.
Hata ningekuwa mimi kwa kichapo kile cha jioni kabisa asbh eti nidamke nikapige kura. Cant do that.
Mbowe alipaswa kubembeleza mtaji wake kwa busara ya hali ya juu kabisa. Sitashangaa Chadema kikishika nafasi ya tatu (3) Kinondoni.
Hayo mambo ya mawakala alikuwa na wise option nyingi tu hata kwenda mahakamani jana kuzuia uchaguzi hadi tupate tafsiri ya sheria ni lini mawakala wanapewa viapo vyao?
Mahakama ya Tanzania si ya kuidharau hata kidogo kwani ni mara nyingi tu imetoa maamuzi kwa faida ya upinzani na hata ikitokea mahakama ikajipotosha wenye busara tutaona na kujua hilo.
Yaan,hapo ndo unachoka kabisa,ndo maana mimi naufatilia uchaguzi kwenye mitandao,,,
Ccm haiaminiki ni wezi. CDM wananunulika yaani ni tabu tupu humu Tanzania.
Tatizo kwenye kampeni badala ya kuhutubia wanakinondoni mlikuwa mnaambatana na mamluki toka Ubungo,Arusha nkNaunga mkono hoja wizi na uporaji wa waziwazi bila aibu hata kidogo
So what!! Si alimtabiria Clinton ataibuka Rais ila leo hii anaangalia ikulu kupitia TV!!! Walewale tu na huyu