Alichosema Dr Mashinji kuhusu chaguzi

Alichosema Dr Mashinji kuhusu chaguzi

Dr Slaa, prof Mkumbo, kafulira, Mtulia, prof Molel, mnajisikiaje? Nauliza tena ,ndani ya mioyo yenu mkiwa peke yenu kabisa mwaj8sikiaje? Na marais wastaafu je? Warioba, kabudi kweli mko kimya? Mwaona ni sawa eh! Why why why why? OK enjoy the cup of blood of innocent people. These shall end
 
Dah...kwani hao wamefanya nini?? Na kikombe kipi hicho cha damu???
 
Dr Slaa, prof Mkumbo, kafulira, Mtulia, prof Molel, mnajisikiaje? Nauliza tena ,ndani ya mioyo yenu mkiwa peke yenu kabisa mwaj8sikiaje? Na marais wastaafu je? Warioba, kabudi kweli mko kimya? Mwaona ni sawa eh! Why why why why? OK enjoy the cup of blood of innocent people. These shall end

montroll ,
Mkuu,
Hao wote tayari wako kwenye mrija wa asali na maziwa na sasa wako kwenye usingizi wa pono

Tanzania, tupambane tu na hali zetu.
 
Sisi akina Nani si mlisema Salimu atashinda? Jana Mawakala wenu si wamekula Kiapo?
Nguvu hii kubwa inayotumika kuua uoinzani gharama yake utalipwa na chama tawala chenyewe. muda utaongea
 
Hivi kwa nini CHADEMA walishiriki uchaguzi huu wa marudio?

Wamevunja sheria gani? Mlitarajia mteremko iwapo wangejitoa? Sasa hakuna aliyejitoa na umma umeelewa kile cdm wanachopigia kelele kila siku. Na yale matambo ya ccm kwamba hii ni ccm mpya na inakubalika na wananchi, rasmi yametoweka. Hapa mlipo hata wanaccm ile propaganda mliyojilisha wenyewe kwamba mnakubalika sasa togwa limeingia nzi. Sikutarajia chama kinachojisifa kujenga reli ya SGR, miradi kibao ya maendeleo nchini, ipate shida na kuamua kutumia unyama wa wazi dhidi ya chama kisicho hata na ofisi ya kueleweka.
 
Kupitia Account/ ukurasa wake wa Twitter Dr Mashinji amekubali Matokeo hata kabla ya Kutangazwa na anaganga ya Chaguzi zijazo sisi vidagaa tumuunge mkono Dr. Mashinji uchaguzi umeisha.

Kwani mashinji ni kabila gani??
 
Hapa namkubali sana mama mshumbushi, alikabiliana na ffu kule arusha kisawasawa, sasa hawa wasanii kusikia bomu la machozi hao wakalala mbele,

Hivi hao wakurya waliowakodi bado wako dar tu?
43c189c23a3d2b3191aa8f790aee59c7.jpg
 
montroll ,
Mkuu,
Hao wote tayari wako kwenye mrija wa asali na maziwa na sasa wako kwenye usingizi wa pono

Tanzania, tupambane tu na hali zetu.
Yeah, BUT why? Wanalala usingizi mzuri na wa amani kweli based on their legacy they once built? Wanaweza kuwa wanaonekana wana amani KwA nje kumbe ndani kabisa sirini wanateseka, kama walivyo mabilionea wa kichawi? Wanaobadilisha watoto wao kuwa mazezeta ili kuvuta utajiri(kishetani).
Hawako huru,
 
Et kuna watu wanasubili matokea kwa hamu kabisa yan
Ccm mnachekesha mnadhani kuna mshindi zaid yen majambaz nyie kitaan kwangu wote wanajua ccm itatangazwa mshindi
 
Yeah, BUT why? Wanalala usingizi mzuri na wa amani kweli based on their legacy they once built? Wanaweza kuwa wanaonekana wana amani KwA nje kumbe ndani kabisa sirini wanateseka, kama walivyo mabilionea wa kichawi? Wanaobadilisha watoto wao kuwa mazezeta ili kuvuta utajiri(kishetani).
Hawako huru,

montroll,
Kijana,
JK alisema mtakumbuka ndiyo kama hivyo sasa.
 
Back
Top Bottom