asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,030
mkuu rudi tu kule nyumbani kwetu jlw maana huku utafungwa bure
mkuu toka nijiunge jf sijawahi kufungwa kwani katika watu wanaoweza kujidhibiti na kufuata sheria za jf mimi pia ni mmoja wapo.usijali tupo pamoja na humu ndiyo nilipoanzia , baadae ndiyo nikahamia kule kwingine.