Wenye akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio anapiga penalti ya mwisho

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Hakika HUKUMU ya leo kwa Wenye Akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio Anapiga Penalt ya Mwisho huku Halima Mdee na Genge Lake wamepiga zote 5

Ila wenye Akili ndogo wanadhani Mchezo umeisha Halima na Genge Lake Wameshinda.Uamuzi wa leo Unaitaka Chadema iitishe Baraza Kuu bila uwepo wa Wajumbe wa Kamati kuu ili mradi Akidi ya WAJUMBE wa Baraza Kuu itimie iwaite Tena HALIMA na Genge Lake iwasikilize Kama takwa la haki ya kusikilizwa kisha IPIGE PENALT yake ya Ushindi

Kufanya hivyo Chama kitajijengea Heshima kwa kutowavumilia WASALITI ndani ya CHADEMA.
 
Hakika HUKUMU ya leo kwa Wenye Akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio Anapiga Penalt ya Mwisho huku Halima Mdee na Genge Lake wamepiga zote 5
Ila wenye Akili ndogo wanadhani Mchezo umeisha Halima na Genge Lake Wameshinda.Uamuzi wa leo Unaitaka Chadema iitishe Baraza Kuu bila uwepo wa Wajumbe wa Kamati kuu ili mradi Akidi ya WAJUMBE wa Baraza Kuu itimie iwaite Tena HALIMA na Genge Lake iwasikilize Kama takwa la haki ya kusikilizwa kisha IPIGE PENALT yake ya Ushindi .

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

Inategemea na muundo wa Baraza hilo. Kama kwenye muundo wa baraza hilo akina mbowe wapo basi hata wakijificha wasiwepo kwenye baraza kuu kwa dharura ya kupisha wajumbe wengine wawang’oe akina Mdee haitasaidia kwa sababu watawalisha wale wajumbe wengine maamuzi ya kutoa huku wao wakiwa wamejificha mahali fulani!

Hii inanikumbusha wahalifu fulani walivyotengeneza dili fulani na wenzao mji fulani halafu wao wakaondoka kwenda kubana mji mwingine wa mbali siku ya tukio la uhalifu.

Wale wenzao walikujakamatwa siku ya uhalifu. Walipotajwa na wenzao waliokamatwa wakadai kuwa mbona siku ya tukio sisi hatukuwa sehemu ya uhalifu huo bali tulikuwa mji fulani wa mbali!

Bado ushahidi ukawatia hatiani! Wanachoweza kufanya akina Mbowe (kitu ambacho ni kigumu sana) kama wanataka kuwang’oa akina Mdee ni kwenda kubadili katiba ya baraza ili wao wasiwe sehemu ya baraza.

Na watakapofikia hatua hiyo labda hata bunge litakuwa limeshavunjwa kupisha maandalizi ya uchaguzi mwingine!
 
Hakika HUKUMU ya leo kwa Wenye Akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio Anapiga Penalt ya Mwisho huku Halima Mdee na Genge Lake wamepiga zote 5
Ila wenye Akili ndogo wanadhani Mchezo umeisha Halima na Genge Lake Wameshinda.Uamuzi wa leo Unaitaka Chadema iitishe Baraza Kuu bila uwepo wa Wajumbe wa Kamati kuu ili mradi Akidi ya WAJUMBE wa Baraza Kuu itimie iwaite Tena HALIMA na Genge Lake iwasikilize Kama takwa la haki ya kusikilizwa kisha IPIGE PENALT yake ya Ushindi .
Kufanya hivyo Chama kitajijengea Heshima kwa kutowavumilia WASALITI ndani ya CHADEMA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

Jambo jingine ni kuwa hata wakitoa maamuzi gani bado kina Mdee watakata tena rufaa na yenyewe itacheza miaka mitatu mingine kama ilivyomaliza hii miaka mitatu na ushee sasa. Haiwezekani CHADOMO waseme akina Mdee siyo wabunge halali huku wao CHADOMO wakivuta ruzuku kila mwezi inayozalishwa na akina Mdee. Unadhani wao akina Mdee ni wajinga? Bora Chadomo waachane na suala hili kama ambavyo Yanga waliachana na Fei Toto!
 
Ujinga wako ndio unaokufanya udhani ruzuku inaletwa na viti maalum
 
Pumbavu, kwani mnachohangaika nacho hapo ni nini? Kumbe hata katiba huijui wewe, niambie vigezo vya chama kupewa ruzuku ni nini? Chama kinatakiwa kifikishe angalau asilimia tano ya nini na nini ili kipewe ruzuku? Ndiyo maana nyie ni majinga chama kizima mnaendeshwa hadi kubwagwa kwenye kesi na watu 19. Akili choo kabisa, na hao hamuwapati hadi watamaliza miaka 2 iliyobaki bungeni na kisha watasepa zao kwenda vyama vingine na watarudi tena bungeni! Hopeless CHADOMO!
 
Wewe kapuku hujui lolote , JF Yote inakucheka , waulize wanaokutuma , Mjinga we !
 
Na kama CHADOMO wote wana akili kama ya kwako basi tegemea akina Mdee watashindilia mshono hadi mnasambaratishana wote kama sasa ambavyo lichama lenu bado kidogo litakuwa kama TLP ya marehemu Lyatonga, maana ni kwisha kazi hakuna tena anayezungumzia CHADOMO nchi hii.
 
Hakika HUKUMU ya leo kwa Wenye Akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio Anapiga Penalt ya Mwisho huku Halima Mdee na Genge Lake wamepiga zote 5
Ila wenye Akili ndogo wanadhani Mchezo umeisha Halima na Genge Lake Wameshinda.Uamuzi wa leo Unaitaka Chadema iitishe Baraza Kuu bila uwepo wa Wajumbe wa Kamati kuu ili mradi Akidi ya WAJUMBE wa Baraza Kuu itimie iwaite Tena HALIMA na Genge Lake iwasikilize Kama takwa la haki ya kusikilizwa kisha IPIGE PENALT yake ya Ushindi .
Kufanya hivyo Chama kitajijengea Heshima kwa kutowavumilia WASALITI ndani ya CHADEMA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Wanasheria ni watu wa hovyo sana, kama wajumne wa kamati kuu ni wajumbe halali wa baraza kuu Kwa mjibu wa katiba a ya chadema, kwanini walazimike kuacha majukumu yao ya kikatiba? Kwenye baraza kuu hawahudhurii kama wajumbe wa kamati kuu bali wajumbe halali wa baraza kuu. Hili halihitaji kuwa na Phd ya sheria
 
Kwa kweli hali ya CHADEMA ni ya kusikitisha, na kina Mdee wako katika untenable position.
Mdee na wenzake ni kama kiraka kinacholazimishiwe kwwnye tairi, ila hakiachi kutoa hewa.
 
Hakika HUKUMU ya leo kwa Wenye Akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio Anapiga Penalt ya Mwisho huku Halima Mdee na Genge Lake wamepiga zote 5
Ila wenye Akili ndogo wanadhani Mchezo umeisha Halima na Genge Lake Wameshinda.Uamuzi wa leo Unaitaka Chadema iitishe Baraza Kuu bila uwepo wa Wajumbe wa Kamati kuu ili mradi Akidi ya WAJUMBE wa Baraza Kuu itimie iwaite Tena HALIMA na Genge Lake iwasikilize Kama takwa la haki ya kusikilizwa kisha IPIGE PENALT yake ya Ushindi .
Kufanya hivyo Chama kitajijengea Heshima kwa kutowavumilia WASALITI ndani ya CHADEMA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
This is a planned game.Waliingia 2020 sasa ni 2023.Tuseme hilo baraza likae 2024 at anytime.Akina mdee watachallenge decision mahakamani.Kesi itachukua mwaka na ushee,tunaingia uchaguzi mchezo umekwisha.
 
Hakika HUKUMU ya leo kwa Wenye Akili kubwa wanajua kuwa CHADEMA ndio Anapiga Penalt ya Mwisho huku Halima Mdee na Genge Lake wamepiga zote 5
Ila wenye Akili ndogo wanadhani Mchezo umeisha Halima na Genge Lake Wameshinda.Uamuzi wa leo Unaitaka Chadema iitishe Baraza Kuu bila uwepo wa Wajumbe wa Kamati kuu ili mradi Akidi ya WAJUMBE wa Baraza Kuu itimie iwaite Tena HALIMA na Genge Lake iwasikilize Kama takwa la haki ya kusikilizwa kisha IPIGE PENALT yake ya Ushindi .
Kufanya hivyo Chama kitajijengea Heshima kwa kutowavumilia WASALITI ndani ya CHADEMA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye kuita Kikao cha Baraza Kuu ndio Kuna utata.
 
Hongera mdee kwa kukomesha udikteta wa Mbowe
 
Kwanini wasifanye j3 ijayo? hao wafukuzwe tena hawafai
 
Wanasheria ni watu wa hovyo sana, kama wajumne wa kamati kuu ni wajumbe halali wa baraza kuu Kwa mjibu wa katiba a ya chadema, kwanini walazimike kuacha majukumu yao ya kikatiba? Kwenye baraza kuu hawahudhurii kama wajumbe wa kamati kuu bali wajumbe halali wa baraza kuu. Hili halihitaji kuwa na Phd ya sheria
Hata jaji aliyesoma hukumu naye anashangaa hivyo hivyo, hukumu iliandikwa na Tulia.
 
Back
Top Bottom