Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

'CCM haina dira wala mwelekeo', maneno hayo yalipotamkwa na Bw Horace Kolimba, maskini ya Mungu ndio yakawa mwanzo wa mwisho wa uhai wake...

Akili kubwa ya Bw Kolimba ilipojaribu kuzifumbua macho akili nyinginezo, wana wa uovu wakauchukua uhai wake pasipo huruma...

Ni heri hawa wanaotumia demokrasia kufanya maamuzi kuliko wale wanaotumia propaganda chafu za mauaji...

God have mercy...
 
Bw.Nchemba huna lolote unaleta ulaghai wa maneno tu.Kimsingi mkakati wenu umeshindwa vibaya sana.Jaribuni tena baadaye!
 
cdm haikuhusu; zzzk aje kwenu; kama mtela; hivi mjenga fly overs ngapi mpaka sasa na machinga complex kila jimbo la uchaguzi dsm
 
Tabia za wapiga chabo utazijua tu, kukata viuno kwa ngoma wasiyohusika.

Maamuzi yafanywe na cdm, na kuumia mnaumia nyie?

Hakuna jambo limenifurahisha kama uamuzi huu ulio chukuliwa na CHADEMA! VIVA CHADEMA, MAGAMBA HAWAAMINI.
 
Kiraka kama wewe mmepata topic sasa, unakuja mbio na posts zako kumbe ni plagiarism tu, why don't you acknowledge the Author. Savimbi mkubwa!!!!!!!
 
Mimi sio mshabiki wa walichokifanya CDM ila nashangazwa na malalmiko ya CCM kumtetea ZZK.

Mara zote nimekuwa ninajiuliza ni kwa nini CCM wanaumia sana akiguswa Zitto? Bila shaka atakuwa aliwapa siri nyingi za chama na walikuwa wanamlipa fedha nyingi. Haileweki chama kimoja kishughulike na watu wake as it may deem fit halafu viongozi wa chama kingine walalamike? Ina maana hawana hekima hata kidogo ya kuficha kile wakichokuwa wanafanya? Shocking.
 
Tafta misemo yako , usiwe kubwa JI.... la kukopi saaaana misemo ya wengine. 2014 imegonga nukta.
 
Kuwa kote likizo bado Chemba linatoa harufu mbaya,akili zako maiti tupu,kilaza kweli,kama haitoshi njoo umuombee msamaha kazi mliyomtuma kachemka....
 
Gaidi Mwigulu Nchemba...mlipo msimamisha mwakilishi pale Zanzibar kuna mtu kutoka Chadema akitoa tamko...?

Tambua kazi kazi zako ni UGAIDI, kuhujumu Chadema kupitia kitengo cha upelelezi cha polisi...

Hili la Zitto nalo litapita kama issue za KIGAIDI....

Tambua Chadema wamejipanga... TISS sasa wako taabani
 
Hizi ni hasira za kuwekeza pesa nyingi kwa Zitto kuiuwa Chadema matokeo yake imekula kwenu.

Hivi wewe Mwigulu Nchemba uliyembambikia kesi Kitila Mkumbo ili asigombee ubunge kwenye jimbo unaloliwskilisha kwa sasa upendo huu umetoka wapi?

Akili kubwa yoyote ilitegemea wewe ndio uwe wa kwanza kusherehekea anguko la Dr Kitila Mkumbo.

Pesa zenu zimeliwa bure na mpango wenu umeshindwa kabla hata haujaanza.

Pole sana gaidi mzoefu.

Akili kubwa ni kumvuwa uwanachama Mansour kwa kutoa mawazo yake kuhusu muungano?

Eti huyu ndio naibu katibu mkuu!! Bora hata hiyo nafasi angezawadiwa mbwiga wa mbwiguke angalau porojo zake zinaburudisha masikio

Hongera mchumi wa dataja A!!
 
Namshangaa sana Mwigulu, hivi huyu leo amekuwa nani mpaka aisemee chadema kwa maana ya kuiboresha!!! Muuaji mkubwa we!! Tena kuwafukuza hao manyang'au pekee haitoshi, yoyote yule atakayeonekana ni pandikizi chadema atimuliwe...!
 
Mwigulu huna jipya wewe hiyo akili ndogo kutawala akili kubwa umeicopy kwa peter msigwa halafu unashindwa kumnukuu
 
Msiba wa Chadema ccm wametundika maturubai kuomboleza. Wanalia hao hadi wanagalagala kwenye matope.

Haya majonzi waliyonayo lumumba fc ni kudhihirisha kutenguliwa kwa unabii wa Wassira kwamba Chadema italifa kabla ya 2014.

Kwa uamuzi huu ni dhahiri kuwa tunaingia 2014 kwa kishindo kikubwa na 2015 tunaingia kunywa togwa magogoni.
 
Msimamo wa mtu mmoja mwingine anaweza kuuelewa. Ukifuatilia mtiririko wa masuala ndani ya Chadema, ungeelewa in kwanini CCM imeumia sana an hatua hii ya Chadema kumsimamisha uongozi Zitto Kabwe. Waliwekeza fedha nyingi sana kwake ili aisambaratishe Chadema. $1,000,000 kwa mtu mmoja tu kama Zitto siyo mchezo. Chadema wameshtukia mchezo na kuvunja daraja hilo. Ndiyo maana CCM wanahangaika. Kwa Hilo sasa wanasikitishwa kushtukiwa mipango yao. Kwamba CCM wanaumizwa sana an hatua hiyo ya Chadema siyo jambo linaloweza kumshangaza yule anayejua mchezo wa CCM nyuma ya pazia inavyoshirikiana na TISS na Polisi kuiangamiza Chadema. Ukilijua hilo utaona mantiki ya masikitiko ya CCM.
 
Back
Top Bottom