pole sana....povu likakutoka maana mkakati wenu umefeli. Jipangeni upya
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
mkuu rudi tu kule nyumbani kwetu jlw maana huku utafungwa burekama mtu una akili zinazokutosha kichwani huwezi kuandika namna hii. haya ni maandishi ya hovyo kuliko ,kuwahi kuyasoma.
Msimamo wa mtu mmoja mwingine anaweza kuuelewa. Ukifuatilia mtiririko wa masuala ndani ya Chadema, ungeelewa in kwanini CCM imeumia sana an hatua hii ya Chadema kumsimamisha uongozi Zitto Kabwe. Waliwekeza fedha nyingi sana kwake ili aisambaratishe Chadema. $1,000,000 kwa mtu mmoja tu kama Zitto siyo mchezo. Chadema wameshtukia mchezo na kuvunja daraja hilo. Ndiyo maana CCM wanahangaika. Kwa Hilo sasa wanasikitishwa kushtukiwa mipango yao. Kwamba CCM wanaumizwa sana an hatua hiyo ya Chadema siyo jambo linaloweza kumshangaza yule anayejua mchezo wa CCM nyuma ya pazia inavyoshirikiana na TISS na Polisi kuiangamiza Chadema. Ukilijua hilo utaona mantiki ya masikitiko ya CCM.
Mheshimiwa, wewe unacheo kikubwa ndani ya chama. Hutakiwi kuyazungumzia haya kwa hali hii hata kama ni propaganda. Sijui unazungumza kama kiongozi wa chama au kama wewe tu? Hata hivyo CDM ni taasisi kama CCM. Kuheshimu maamuzi ya taasisi yoyote kwa kiongozi kama wewe ni vizuri sana. Achana na siasa za Le Mutuz!