mimi si mshabiki sana wa siasa ingawa huwa napitia taarifa mbalimbali ili kiwa up to date na taarifa ndani ya nchi yangu,
kwa kweli mimi sioni tatizo hapo, wao wana akili kubwa, wamefukuzwa ktk chama walichokuwapo, sasa wako ktk chama kingine, nadhani ni fursa kwao huko waliko kuonyesha hiyo akili kubwa waliyonayo na wanaweza kutimiza furaha yako mto mada.
True mpwa