Alichofanya leo Rais Kenyatta London

Alichofanya leo Rais Kenyatta London

Tatizo anajifanya mjuaji sana, kumbe hanalolote analojua.
 
Tunanyoosha nchi kwanza
Hahah ama kweli mnanyoosha manaa sio kwa kasi hii hamuendi nje lakini 1.5trilion haijulikani ilipo manispaa ya kigoma wakurugenzi wamewajibishwa the same day ya ripoti ila huyu wa trilioni moja na nusu kaachwa hadi sasa kama vile hawajamwona...mwizi wa kuku kafungwa miaka 10 mwizi wa wa farasi kafungwa mwaka
 
Huo si mkutano wa EAC ni mkutano wa nchi zilizokuwa chini ya uingereza labda tu waombe kibali.
Amehudhuria vizuri angalia social media zake ameweka picha yupo buckhiam palace dunia ya sasa kunetwork muhimu
 
Mbona mimi siwaelewi mnavyomponda yule dude? Hivi kuna mtu alisema kua hela imepotea?
 
Haha hizi comment zenu sijui zinamhusu nani, siwaelewi kabisa
 
Hajui hata hiyo London Stock Exchange ni kitu gani! Tumepotea sana.
 
Back
Top Bottom