uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Safari kama hizo kikwete alienda sana mwisho wa siku inchi kama inchi ikakalia kidole cha kati mwacheni mzee wetu tukae naye mtaaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwana mikasi katulia tu pale baharini muda anatikisa miguu
Bado atabaki kuwa former PresidentJamani huyu amekuwa mkombozi tena! Si mlikuwa mnamuita Vasco da Gama au nimesahau mimi?! Teh teh
na saivi wajanja wanasema acc. zimetuna kweli yani ukiambua kuchota unachota kweli kweli sio kama wakati ule zilikuwa za msimuMtembea bure si mkaa bure, tuendelee kujifungia tu ndani, tukitoka mafisadi wataiba. Hapo hatujatoka 1.5 trillion imepotea, tukitoka je?
Kagame naye hakuhudhuria?maana isije ikawa anamdanganya Mr JIWWE!
Huo si mkutano wa EAC ni mkutano wa nchi zilizokuwa chini ya uingereza labda tu waombe kibali.
Na lugha ya malikia itapanda kwa raha zake.Sometimes heri kuwa Mlevi
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Watu wana vijembe vya ajabuJiwe limekaa ndani linaiba tu.
Belgiumnimekupata Ovaaa,Rwanda ilitawaliwa na .......