unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
Huyu wetu Basi hata atuambie trillion 1.5 zimeenda wapi hataki?
Alisema hataki kusafiri kwasababu ya mafisadi Sasa awamu yake Ndio inaonekana itameza rekod kwa ufisadi
Subiri Ndege. Mbona hamuulizi. Mmezoea utapeli sasa mnajifanya ndo mpo hapo