huu wimbo haupandi ndege!ng'o
Ni ujinga kudhani kila video ni lazima iwe na matukio ya maigizo. Ni video bora sana kwa Picha na mpangilio wa matukio.
Isitoshe hata Kiba mwenyewe ametenda haki kwenye camera, dancing ya ukweli na ametawala video vizuri.
Ova
Eti video haitavuka boda maana haieleweki?? Cabo Snoop alikuja bongo na nyimbo ambazo hamuelewi kaimba nini, video zenyewe hazieleweki mara kakata mauno kidogo beat inazimwa anapiga story weee then beat inaachiwa, Cabo Snoop anaendelea kukata mauno ila mwisho wa siku mlijazana ukumbini kwenda kumuangalia japo hamumuelewi.
Oyaa Kiba endelea kufanya yako, achana na hawa haterz.
1. quality - nzuri sana
2.theme - nzuri but nahisi imeenda nje ya mategemeo ya wengi
3.location - kitanzania hajatutendea haki course labda kwa sababu tunaelewa wimbo so tulitegemea kidarisalama zaid nwei international wise its oky
4. dancing - amejitahid sana especialy new style ya kucheza
ovarall from where he came from (video wise) ameimprove sana
all in all team kiba n diamond we need to have more videos kwa ajili ya ku compete kwa na wenzetu zaidi na tuache kubishana kibongo bongo!
Unaongea Kiushabiki.. Nyimbo ya Alikiba imekaa kimafundisho zaidi kuliko burudani... Kwa Msikilizaji atacheza Mdundo, ila Maneno au Mistar ya kiba imekaa kimafundisho, sasa unajua nn kinatokea????
Wakat unausikiliza Huo wimbo kwenye Radio, kichwan unajaribu kuyatizama kwa Mawazo na Picha aina ya Maisha huyo anaeimbwa alikuwa nayo... Kisha unaendelea kulingana na Ujumbe wenyewe...
Kiba kachemsha, japo Mpangilio wa Pucha, Quality na hata uchanganyaj wa picha Uko safi sana.
Mi nilitegemea kuona maigizo kidogo, kama aliweza kuigiza anaingia na kukuta wadada wana rehestle dance, basi na angeweka maigizo ya huyo anaemzungumzia.
Yaani. Video ni ya kawaida. You wunt watch it twice... Na if you do, basi utapeleka peleka mbele. Sekunde kumi, ushaitizama yooote.
mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
dislike
uwa siuelewiii wimbo unamaana gani, afu kuna mapungaa fulani humu jf wanajiita team alikibaaa
mi ni fan wake ila nimeshangaa sana
sijui Godfather hawakumuambia nyimbo inahusu nini?
alipokuwa anatembea angalau angekuwa kama anaangalia labda mtoto nje ya geti anagombana na wazazi kisha anaondoka
then scene nyingine yuko anakula drugs huku kiba anamsikitikia akiendelea kuimba
video ilihitaji ka story, iko flat mno
Kiukweli kabisa ipo hivi:
Kulingana na wimbo (audio) ilivyo watu wengi walishaweka vichwani mwao jinsi video itavyofanania hadi vipange vitakavyokua ndio maana watu wanaona kama video ni mbaya lakini hii video sio mbaya video nzuri sana tatizo matukio ya vipande vya video hiyo vimekua nje na mind za watu walivyojijengea kulingana na audio yake.
Mfano mimi nilitegemea hiyo video vipande vyake au kwa ujumla kidogo ingefanana na jinsi ile nyimbo ya MAKUMUGA.
Ila big up vijana wetu international hiyo video inaeleweka vizuri tu wala haisumbui