Ali Kiba - Lupela

Hii video ina vumbi kibaooo yaani mi nimeiangalia sana jana lkn haivutii kiukweli.....
Au king kiba anatoa pesa kidogo nn mana video ni gharama
 
Eti huyu nae kaongea jamani!Huu uhuru wa kutoa maoni unatufanya tuwe wendawazimu.
Sijaona chochote cha maana katika post yako hii zaidi ya chuki 'A One'.
Adam Juma kaipa sifa zake kitaalamu wewe unaleta story zako za ujuzi wa mitaani....WTF?
 
Eti huyu nae kaongea jamani!Huu uhuru wa kutoa maoni unatufanya tuwe wenzawazimu.
Sijaona chochote cha maana katika post yako hii zaidi ya chuki 'A One'.
Adam Juma kaipa sifa zake kitaalamu wewe unaleta story zako za ujuzi wa mitaani....WTF?
Anajifanya hachangii kishabiki..kajiumbua alipotaja wimbo wa Aiyola tumemjua alichokua anamaanisha.
 


nasubiri siku diamond aitwe aimbe wimbo wowote wa kiba
 
Tuwaache wasanii wafanye kazi Yao, kukosoa kila kitu na kufananisha kila kazi ya kiba na chibu kunaharibu Sanaa ya Tanzania. Wasanii wengine wanashindwa kukua Kisa mkasa Chibu na Kiba, watieni moyo Watanzania wenzetu achana na chuki za kishabiki.
 
Binasfi nilivyoiona kiba hana mshauri mzuri zaidi ya kundidimiza
 
Jamani tuache chuki kwa mtu anaejua mziki ni kwa mba unaendana na hisia.huu wimbo umetulia sema mnasababu zenu binafsi,mimi sio shabiki wa kiba wala baba zai,ila ukweli ndiyo huo.mziki umekaa kama mke na hakuna mke mwenye sura mbaya.mbaya kwako kwa wenzio poa
 
YANI UMEMPOOOOONDA ADAM JUMA NKAJUA SIJUI KAONGEA KITU GANI KIBAYA..
MBONA KAONGEA VIZURI TU NA KISTAARABU MNOO
 
Mkuu video lazima iwe na vipande ambavyo vitakufanya ushike remote mkononi, sasa video ipo kama masanii yupo jukwaani.

Labda niambie wewe ukali wa ile video uko wapi. ?
utofauti wa alikiba na diamondi ni kwamba, diamond anafanya mziki biashara, alikiba anafanya mziki usela.
Diamond huwa anajifunza kila siku, anajifunza jinsi ya kuwa tofauti na kuupeleka mziki wake juu zaidi.

Mameneger wanaomsimamia diamond na washauri wake wanapata mshiko wa maana, sio mbahili kutoa pesa. Hii ndio maana ya biashara, toa pesa upate pesaa
 
Tatizo hiyo video haiendani na kasi ya soko la sasa, video hiyo utafikiri ni ya miaka mitatu, hakuna ubunifu.
Bora video ya mr bluu ya hii ngoma yake aliyotoa majuzi
 
Eti huyu nae kaongea jamani!Huu uhuru wa kutoa maoni unatufanya tuwe wendawazimu.
Sijaona chochote cha maana katika post yako hii zaidi ya chuki 'A One'.
mmmh...
mamdogo...!!!
wewe si ndo umeanzisha uzi wa kuchunguza makalio ya Zari..?
sasa kinachokufanya umshangae huyu anayechambua video ya LUPELA ni nini..!?
samahani lakini!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…