Ninachosema ni ujinga kuwashindanisha wakati wao wanapiga pesa..
Mwacheni Balozi wa Wanyama apige kazi, yeye kama Balozi wa Wanyama aliyejitangaza lazima aonyeshe angalau mnyama mmoja au zaidi kwenye video yake.
Kwa hiyo unataka kusema Kiba anasafiria nyota ya bifu?
U know I'm always real...Broda,I love this....
Uwiiiiii umenifurahisha mnoooo!
Nakosa maneno stahiki ya kuelezea hili....
Thanks.
Kwa hivyo;thriller ya Michael Jackson haikupaishwa na video???Fan wa muziki kiukweli hawezi kuamua uzuri wa nyimbo kwa kutizama video! Mie hata sihitaji kuona hiyo video ndio nitoe uamuzi. Ngoma nimeidownload na ni tamu saaaaana. LUPELA MBONA IKO SAWA!
Mpe na hiziKwa hivyo;thriller ya Michael Jackson haikupaishwa na video???
Nakuunga mkono kabisa ktk hili, nimemuona Alikiba juzi juzi kupitia Tv akihojiwa ktk the sporah show, hajibu maswali anayoulizwa, na kama akijibu lazima atajilinganisha indirectly na diamond, alafu hajachangamka, hana ucheshi.Alikiba mkali lakin sio mchangamfu kama domo afu ana usharo wa zaman
WTF is 'coming coming coming coming coming'?? Asilazimishe mistari ya kiswahili kwenda kingereza. Anaharibu wimbo.Cheki rafiki yake ilivyomtoka hela hapa,bonge la kideo.
Sasa nimeiona hii video, na NASEMA KUWA NI MZURI, tatizo naloliona kwa watu ni kutaka kazi zake zifanane na za diamond. Haiwezekani akatoa video zinazofanan na za diamond, akopi ili iweje?? Lazima tukubali kuwa jamaa ni tofauti na diamond, binafsi nimeipenda video. Video iko na serene nature fulani hivi. Watu wamezoea na wamekariri kuwa hapa Tz laZima kuwe na Simba na Yanga, ccm na chadema, kiba na diamond. Upuuzi mtupu.Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.
Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.
Labda kama lengo la video ni kutetea Tembo, lakini kama ni ya kushindana na Diamond ni sawa baiskeli dhidi ya piki piki.
unamaanisha hii nayo kali kushinda LUPELA au..?Bab kubwa.......
Na ww kiazi kweli..unafikiri Kiba anafanya kazi kwa ajiri ya domo??Namkubali Alikiba ni mtunzi mzuri ni mwimbaji mzuri na ana sauti nzuri sana, ila video zake mara nyingi haziendani na anachoimba.
Ukiangalia hii video yake haileti hamasa ya kuendelea kuiangalia, haivutii na haina udadisi.
Labda kama lengo la video ni kutetea Tembo, lakini kama ni ya kushindana na Diamond ni sawa baiskeli dhidi ya piki piki.
Ke,kenge au???Muda wote nilijua wewe ni ke. !
diamond yupo na nyota safi, kofi kusema angependa afanye kazi naye ni anaangalia upepo umekaa vipi, sio kwamba eti diamond ni nuks zaidi ya Kiba.Nawatupia lawama wote mnaomfananisha Kiba na Diamond. Mnampa jukumu kubwa kuzidi uwezo wake. Koffi Olomide mwenyewe alisema anatamani siku moja afanye ngoma na Diamond sasa huyo Kiba mngemwacha kwenye level yake. Watanzania kuweni wazalendo kwa kuacha uonevu dhidi ya Kiba. Mtoto wa Tandale yuko level ya peke yake kwa sasa