Ali Kiba Fans' Special Thread...

Tuache ushabiki Kiba ana sauti ambayo sio ya kuedit. Sikiliza cheketua vizuri kisha rudi nyuma sikiliza sinderela. Kiba mkali sana bali alikosa wasimamizi wazuri ila kwa sasa tunaamini atakata kiu zetu. Kila la heri kiba.
 
Nitarudi tanesco wanzngua
 
Attachments

  • 1433659669934.jpg
    1433659669934.jpg
    18.6 KB · Views: 80
Maneno ya mkosaji kwahyo asifanye yake kisa domo. Kwani wasanii wengine wanafanya nini.
Nonsense and bull.st.
Which question did you answer beach girl?
Niliuliza hivi:
Where was he?
who made him back???
Wasn't he there?
................
wewe umeishia kunivulia nguo zote! Unadhani nitakubakiza mzima?
 
Tuache ushabiki Kiba ana sauti ambayo sio ya kuedit. Sikiliza cheketua vizuri kisha rudi nyuma sikiliza sinderela. Kiba mkali sana bali alikosa wasimamizi wazuri ila kwa sasa tunaamini atakata kiu zetu. Kila la heri kiba.

Hilo suala la kukosa wasimamizi wazuri mmeligundua baada ya ujio wa Diamond au?
Enzi hizo alikuwa na management gani mpaka sasa mseme ana management mbovu?
 
Back
Top Bottom