Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Hahahaaaaa jamani mdogo wangu Abou Saydou hebu njoo kwanza huku hizo pm nitajibu baadae maana umenichekeshaje?
Last edited by a moderator:
Unatamani kubishanaa...
Tunawaachia uwanja mjifarague kwa raha zenu.
Naona wengine wanatuita mbwa kabisa.
Kama sisi mbwa nyie ndio mipanya buku kabisaa.
nifah Diva Beyonce muacheni huyo kichaa kidingi anaharibu mazingira tu hapa
Waliotaka Kiba awe nominated ndio wamuite international
Waje tu
nyc am waitingNgoja nikucheki Whatsaap now
Waliotaka Kiba awe nominated ndio wamuite international
Waje tu
Kwanini mchekiane huko? Mwaga hapa jukwaani watu tufanye yetu mapema.Ngoja nikucheki Whatsaap now
how old are u????
Hapa sasa Kiba ndipo aone umuhimu wa kuwafollow watu wengine.
Oiiii Team Kiba its afrimma
kwa nn ??Hapa sasa Kiba ndipo aone umuhimu wa kuwafollow watu wengine.
kwa nn ??
Aaarrggg hebu achaga hizo bwana.Watu wanaangalia mziki mzuri sio followers na anao wafollowHapa sasa Kiba ndipo aone umuhimu wa kuwafollow watu wengine.
oya vp mbona tunaharibiana mood y??, shut up ur big mouthUjui umuhimu wa kufollow wasanii wenzako n watu wa media n ma international artist km diamond ngoja #tuwanyooshe kwanza halafu tutawambia
Hapo ni diamondplatnumz pekeyake hiyo tuzo yetu bila kutumia nguvu yoyote... hio list yote unayoiona ni wasindikizaji tu kwasababu hawawezi kumuweka chibu pekeyake mwakajana walimuweka Peter msechu hahahahaha leo wsmeleta msindikiaji mpya sasa sijui unataka kusema msevhu ni international kamtangulia le kimbaaaz TUNABEBA KAMA MWSKA JANA