Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Keep wasting ua time am not going to watch it even if you quote me a billions or even a trillion time, am not eeeeeeeh yani ua disturbing ua inner heart to someone who doesn't care and arguing with a fool is a wastage of my time keep wasting ua energy.View attachment 269723
Shoga nimeshashtuka hilo li video ni libovu au li audio ndio maana analazimisha hivyo.
Ingekua nzuri wala asingehangaika...
 
Jamaa kafunikwa ,yaani katika collabo mbovu ni hii bora hata ile ya Waje ilikuwa mbovu kiasi.

Nadhan its about time Diamond ajifunze specialization, siyo kila kitu cha kufanya vingine vitamfanya azid kupoteza heshima aliojijengea.

Ule wimbo angeimba Mtu kama Barnaba,Marlow hv , Ben Paul au Damian Soul ungekuwa kitu kingine bt siyo Diamond katoka kabisa out na anaonekana kuwa anakuwa out.

Am his fan bt for this song no
Haya sasa....tukisema sisi tunasemwa tuna roho mbaya, tuna chuki na mambo kibao.
Halafu nilishtuka tu kua hiki kitu ni kibovu ndio maana tunalazimishwa hivi kukiangalia.

Tukiwaambia King kiba ndiye bora watu wanakataa, lile ni jeshi la mtu mmoja, hategemei collaboration wala nini lakini anakimbiza.

Hizo collaboration zenyewe anazozitegemea anafunikwa vibaya sana.
#UkweliWakoUmekuwekaHuru
 
Mi hata sijaiangalia najua haina jipya too much collaboration with nothing new. Sauti yake haiwezi kuendana na wasanii wengine mana hana pumzi anakua anahemea juu ka bata aliyekimbizwa.
Hyo ya waje sauti haisikiki kameza maneno.
Tena bora ajipumzishe na mi collabo mana hana jipya kila sehemu anafunikwa. Wanamziki wengine mziki wao tofauti ndo kama naona watu wakimchoka tu kirahisi.
#NakedTruth
 
HAHAHAHAHAHAHA

USHANYOOSHWA HUNA HATA CHEMBE YA SABABU KUSIFIA UKALI WA MONDI BIN LADEN

NA BAAADO

#fullminyoosho
#wapiwazeepori ???
#amSoWandaaaaz
 
Mi hata sijaiangalia najua haina jipya too much collaboration with nothing new. Sauti yake haiwezi kuendana na wasanii wengine mana hana pumzi anakua anahemea juu ka bata aliyekimbizwa.
Hyo ya waje sauti haisikiki kameza maneno.
Tena bora ajipumzishe na mi collabo mana hana jipya kila sehemu anafunikwa. Wanamziki wengine mziki wao tofauti ndo kama naona watu wakimchoka tu kirahisi.
#NakedTruth

team tembo mmekaaaa

TMJ ITAZIDI KUWAPOKEA KWA WINGI SANA

SIO KWA MINYOOSHO HII
NA BAAAADO!!!
 
Oooh ringa kidogo...

agha mwendawazimu kaingiaje???

HESHIMA LAZIMA IWEPO!!!!
 
Ngoma kaliii kinooooma aiseeeeh shout out 2 rais platinumz kwa kuwafunika kupiniiiii...kawiseeeeeee
 
Tuzo yenyewe ya kituo cha television inaringishiwa hiyo....
Ni sawa na Rich Mavoko apate tuzo kutoka ITV halafu aringe
Hahahaaaa
Hata hivyo tuwape muda tu wapunguze stress maana tuzo 7 ndani ya mwezi mmoja alizopata King zimewapa watu stress sana.

hahahaha bado mahangover ya kutosha...

MNABAKI KULIALIA HAPA

ooh ITV ,

TATIZO NYOTA YS PORI, HADI DJ WA DANGOTE AU KIFESI UMAARUFU WAO INTERNATIONAL LE KIMBAZ HAFIKII HATA ROBO ENDELEENI KULIALIA HAPA

MTANYOOKA TU!!
 
CC: Th Name unaitwa huku na #KakaSketi wako kakumiss zaidi ya jana...
Mie simo!

Kwa hiyo unamkataa ambassador kutoka WCB maneno adimu hayoo ohooooo nakutoa gundu la porini hutaki??

KAKUNYOOSHA MONDI BIN LADEN
HASIRA ZOTE ZINAKUJA KWANGU HAAAYA
 
Last edited by a moderator:
Oiiii Team Kiba its afrimma
 
Attachments

  • 1437412978738.jpg
    1437412978738.jpg
    26.2 KB · Views: 68
Back
Top Bottom