Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mtu anakujia juu kisa umetoa pongezi, ungekaa kimya ingekua ten mambo mengine.Sasa wataanza kumtaka Kiba atoe Pongezi. Ruttashobolwa ivi ulilala kweli waitu?
Waitu...nili lala saa kumi alfajiri.... Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
Mjumbe hauwawi

Hahah apo davido alimuliza diamond you gona bring me back to Tanzania diamond akasema am gona bring you back cheki clip kwa dalali mwanamke IG hahah" kufwaaaa wasanii wakubwa hawana beef zakijinga, beef zakijinga ni local kings tu.
 
achani ujinga wakutujazia pages hapa mnakuwa washaambaaa kiasi hicho nendeni kwenye thread yake kule na mtuondoleee ujinga wenu hapa in king house

Hahah mkuu tukale malimao buanaaa huyu chibu ni shida apa twn, hhhhhhhhhhhh mazafwanta team king tukalinde tembo hhhh
 
cute b nishakumis tayari vipi umeenda kupumzika kidogo, maana jana ilikuwa zaidi ya kupanick...

Hahahaaaa mimi ni panic mimiiii? Chezeiyaaaa mimi wew cha kunipanikisha kipiii?
 
Last edited by a moderator:
Hahah mkuu tukale malimao buanaaa huyu chibu ni shida apa twn, hhhhhhhhhhhh mazafwanta team king tukalinde tembo hhhh
kwani kwenye tuzo kiba alikuwepo sasa nichukie kivipi mi nawapenda wasanii wote mbona wa afrika kwani lazima kumpenda domo
 
hayo mambo ya tuzo pelekeni hukoo c nishajua mtv wamemuonea nendeni kwenye thread yake mjadili jinsi ya kuwashtaki mtv
 
Akina zari hahahaaaaaa watambireeee....
Walivyokuwa wanajipendekeza vote for daimond kuweni wazalendo ina maana kwenye ushindi hamna uzalendooooo.....? Urereeeeeee ata ivyo ni katuzo cha kukata mauno hivyo wanajua kabisa hastahili pongezi.
Teh teh ni akili za ki division five zisizo kubali kupongezwa eti kisa ushabiki teh teh yani hapo ni midume mzima na baadhi ya k kutokujielewa. Sometimes kuficha upumbavu kwa siku moja moja .
Tuzo za Jana angekosa Yemi ningesikitika sana aisee.
 
Yani hapo bado sana yeye ndo atanyooka mbona naona mapovu yanawatoka na threads ndefu huku pointless tupu kumbe tuzo za KTMA zinawanyima raha eeeh. Time ni mwalimu mzuri sana.

dada Diva Beyonce achana nao hao unajua hiyo video ni ya lini toka mdogomdogo inatoka au hebu uliza huyo akwambie ni ya lini???
 
Last edited by a moderator:
Wewe nawe tutolee hashuo lako hapa kujidai unajua kwa kuja kwa mlango mwingine. Awe na stress hasiwe nazo hazikuhusu. Ana haki ya kufanya alisikialo nyie na wasengerema wengine mukome kumshambulia mwenzenu. Who is chai jaba by the way. Comments zenu ndo mnaziona za akili mngekua basi hata great thinkers.Get a life haters.
 
Mbulularaz hawa hawana jipya ati hawa eti wamekuja kuringishia tuzo ya kukata viuno ka snura na shilole. Teh teh kiba will always be in our hearts.
leo ndo nimeamini domo anatabia za kike haki ya mungu mwanaume kujibizana na mafumbo kama taarabu
 
Mbulularaz hawa hawana jipya ati hawa eti wamekuja kuringishia tuzo ya kukata viuno ka snura na shilole. Teh teh kiba will always be in our hearts.

see it Diva Beyonce baadae dada mi naenda insta cwez bishana na wajinga wasiojielewa team domo
 
Attachments

  • 1437306610170.jpg
    35.7 KB · Views: 118
  • 1437306625670.jpg
    51.3 KB · Views: 119
  • 1437306646712.jpg
    53.1 KB · Views: 124
  • 1437306664000.jpg
    52.4 KB · Views: 122
  • 1437306680572.jpg
    53.8 KB · Views: 114
Last edited by a moderator:
Teh teh ni akili za ki division five zisizo kubali kupongezwa eti kisa ushabiki teh teh yani hapo ni midume mzima na baadhi ya k kutokujielewa. Sometimes kuficha upumbavu kwa siku moja moja .
Tuzo za Jana angekosa Yemi ningesikitika sana aisee.

Hahahaaaaa acha tuu mtaa wa pili ukilogwa tuu ukawasifu huna bahati.
Wanahisi unaomba namba kwenye timu yao...
 
Hahahaaaaa acha tuu mtaa wa pili ukilogwa tuu ukawasifu huna bahati.
Wanahisi unaomba namba kwenye timu yao...
Poor mentality tu waliyo nayo na kujielewa. Wao wamezoea negativity Mpaka basi na uadui ka vitani. Hahaaaa number kwenye timu kabisa ya waswahili Swahili hvo aisee with poor reason and argument. Over my dead body aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…