Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Hiii imeshakuwa common adi sielew tunawakosea nini hawa watu...ujue hasira imenikaba adi natamani ningekuwa naishi na hawa ma mode jirani.
Yani comment zetu daily wanazifuta. Ina maana wametufanya fools wa hili jukwaa na huyo ansyefuta mbona analeta utoto. Ka hawapendi comments zetu waufunge Uzi kabisa. Ndo mana huwa naipenda Instagram haina shobo no ban. Yani mda wetu bundle zetu mda wetu wafute comments. Please Invisible #BringBackOurComments .
Last edited by a moderator: