Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Aiseee kila kitu tunawazidi mmetuzidi nn :what: nimekumbuka mlicho tuzidi n kuzalisha n kitelekeza watoto
 
Attachments

  • 1436216055304.jpg
    1436216055304.jpg
    41.9 KB · Views: 81
  • 1436216079549.jpg
    1436216079549.jpg
    41.2 KB · Views: 77
Aiseee kila kitu tunawazidi mmetuzidi nn :what: nimekumbuka mlicho tuzidi n kuzalisha n kitelekeza watoto

ok nijibu hili swali ukiwa na follower wengi ndo unajua mziki au vp?
 
800-336 = 464 sasa hapo kiba hajamfolow mtu wala hajafanya collabo ya nje hata moja sasa unaakili kweli ww ©kedrick
 
Aiseee kila kitu tunawazidi mmetuzidi nn :what: nimekumbuka mlicho tuzidi n kuzalisha n kitelekeza watoto
sasa hebu angalia nuh mziwanda na rich mavoko follower sasa hebu fafanua vizuri mtu akiwa nao wengi folower ndo anajua mziki au ur point plz we need?????
 
Attachments

  • 1436217255241.jpg
    1436217255241.jpg
    28.1 KB · Views: 79
  • 1436217273904.jpg
    1436217273904.jpg
    35.9 KB · Views: 73
800-336 = 464 sasa hapo kiba hajamfolow mtu wala hajafanya collabo ya nje hata moja sasa unaakili kweli ww ©kedrick

Kwan kufanya collabo nje ndo utakuwa n followers wengi wema mbona Ana followers wengi kafanya collabo ya nje n nani😀:what::what::what:
 
Aisee ujui muhimu wa kuwa N followers kwa mziki are serious

kwa hiyo mziwanda na mavoko nani anajua mziki ??? hebu fafanua basi ueleweke mtu akiwa na follower wengi anafanyaje??
 
Kwan kufanya collabo nje ndo utakuwa n followers wengi wema mbona Ana followers wengi kafanya collabo ya nje n nani😀:what::what::what:

ok u failed to answer my qn xo u aint nothing rather than hatred to kiba
 
ok u failed to answer my qn xo u aint nothing rather than hatred to kiba

Sorry kuna muvi ilinitaka mzone Followers wengi inasaidia mziki wke kujulikana n kuzika world wide
 
kwa hiyo mziwanda na mavoko nani anajua mziki ??? hebu fafanua basi ueleweke mtu akiwa na follower wengi anafanyaje??

Follwers wengi inaleta inafanya mziki wa msanii kuwa Recongized kitu kingine public awareness yaan ukitaka kutoa song kabla hujafumua kila mtu anakuwa stand by c unaonaga chibu akiwa anafumua ngoma kuna kuwaga hapakaliki
 
Acha nao hawa kedrick si unajua small mind wanafocus kwenye mambo yasiokuwa na msingi

Team stress vs team no stress..

Ha haa basi mtulie sio kaz kujadil ndumba za mmanyema dai...

Ha haa lazima tuje kumake clearence ya pumba za hum kuhus dai... sjaja kujadil kuhus king kibaaa...

Ha haa meseg imefika wazee wa majungu na kumnukuu vibaya mtaalam wa muzik afrika..
team no stress

Ha ha... wafa maji mmepata kisingizio kwamba ndumbaa ....lambeni ndimuu

Kuja huku ni kwa yeyotee mimi kiba namweshimu.. sina tatzo na king ila nyinyi tim yake ambao kaz majungu
Siez mtukana wala mdis kibaaa...ila team stress

Kashazoea..huyo. team stress

he heee... ndimuu imewachanganya..

Adui anafatwa alipo na kupigwa kwakeee...

Poleee... mwambie king azidishe juhud tuu..
Labda anaeza fikia walau robo..

atuachie ndumba zetuu..
sumbai nakuheshimu ujue lakini acha leo ni kujibu.
Ivi kwanza kwan kama huyo domo anafanya vizuri kuliko kiba ata usipoandika izi pumba ulizoandika si ataendelea kufanya vizuri?
Kwa nini una act kama mtu asiye na elimu tena malkia wa mipasho? Hongera kwa kuja kwenye uzi wa maadui ila nasikitika maana hujajipanga silaha zako hafifu.
Maana nilitegemea ungeongea point kumbe kuchamba eeeeeehhh haipendezi be gentleman.
Kama unatuona sisi hatuna akili wajinga kwa nini unapoteza muda wako? Huu muda ungefanya jambo lingine la maaana na ligi upuuzi uwaachie wadada coz ewe kama mwanaume unajishushia tittle kama hawa ma gasho wengine wanaoshinda kwenye huu uzi kumtetea domo kumbe wanamendea wanaume wa le king family.
Kiukwel umeni boaaaaaa sana yaan.
Siku nyingine uwe unaenda kudai haki ya domo mahakamani na sio kwa kiba thread.
Tuacheni na ulocal wetu and jaribu ku act like mwanaume sio wanawake wa mipasho.
Namalizia kwa samahani kwa hayo ila nime ku quote coz nimevumilia nikashindwa
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa mashindano at work, hawa watu kwa kula matapishi hawajambo, kila siku huwa wanajifariji kuwa hawashindani na King, ila wanachofanya ni quiet different, hiviii kumbe Kiba anawasumbua kiasi hiki!! Ila ndio vizuri maana ndio mnazidi kujidhihirisha kutokujiamini kwenu, mtapanik sanaaaaa ila King hana habari anafanya yake tuuu.

Nyie hangaikeni weeee ila ndio mnazidi kumpaisha yaani, na mnajua ni jinsi gani he is baaaaad, he cant let you sleep you know, hollaaa at King.
 
Kizuri hakichoshi..mziki wa king si big G kama wa yule

Hahah sikuhiz kurelease nyimbo ni pesa usione watu wako kimya. Mana ukitoa ngoma fans watadai video ya M30 uko kwaio usishangae wengine wanapiga kimya nusu mwaka huu amna jipya.
 
Wazee wa mashindano at work, hawa watu kwa kula matapishi hawajambo, kila siku huwa wanajifariji kuwa hawashindani na King, ila wanachofanya ni quiet different, hiviii kumbe Kiba anawasumbua kiasi hiki!! Ila ndio vizuri maana ndio mnazidi kujidhihirisha kutokujiamini kwenu, mtapanik sanaaaaa ila King hana habari anafanya yake tuuu.

Nyie hangaikeni weeee ila ndio mnazidi kumpaisha yaani, na mnajua ni jinsi gani he is baaaaad, he cant let you sleep you know, hollaaa at King.

Jana bosi wao kawashushua kawaambia uzalendo unatoka moyoni na sio kwa kulazimishwa. Kila mtu ana haki ya kuvote kwa anayemtaka waache kuforce watu kumvotia yeye hahahaaaa limewashukaje
 
Back
Top Bottom