Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ungekuwa huna stress usingehangaika hapa kwa king kiba, hahaaaaaaaaaaaa.full stress mzeeiya ndio maana kila sekunde hamuishi kuchungulia

Ha haa lazima tuje kumake clearence ya pumba za hum kuhus dai... sjaja kujadil kuhus king kibaaa...
 
Akili ndogo nyie mnaoongezea ndumba kuzijazia haaahaaa. Team ndumba

Nanukuu..

""sijawahi kuwa na sina bifu na alikiba""

""kila mtu anahaki ya kumchagua amtakae, uzalendo haununuliwi bali unatoka moyoni kwa mtu husika, kama unampigia davido au yeyote yule ni haki yako lakini kama unaona tuzo inafaa ije bongo nipigie""

""Nadhani mabishano ya mashabiki juu yetu sisi kwa sisi hayawezi kutupeleka popote, imefika wakati wafananishe wanamuziki wetu na davido, wizkid etc. ""

""unapoamini masuala ya ushirikina unamkosea mwenyezi Mungu, sina imani juu ya mambo hayo, ña mimi anachoamini babu tale siwezi sema nimzuie, kila mtu anahaki ya kuamini anachokiamini""

""Nguvu za wanaonichukia na kupiga kura kwa davido, ni bora pia wangetumia nguvu hiyo kuwapa support zaidi wasanii wetu,, mwakani tuwe na wawakilishi zaidi ya wawili""

""Huwa simtozi mtu pesa yeyote kwenye collable, na wala sijawahi tozwa... Nimefanya collable karibu na A list wote wa Afrika, nyimbo nyingi zipo tayari baadhi tu zinasubiri wakati wake kufanya video shoot, hata hivyo haziwezi kuachiwa achiwa tu, sababu tunataka kila mwaka mziki wetu uwepo kwenye chati kubwa za muziki""

baadhi ya alivyoongea president wa wasaaaaaaaaafi.... Mr. Icon
Chibu dangote 😄😄😄
 
Ha haa meseg imefika wazee wa majungu na kumnukuu vibaya mtaalam wa muzik afrika..
team no stress
 
Ha haa lazima tuje kumake clearence ya pumba za hum kuhus dai... sjaja kujadil kuhus king kibaaa...

Pumba mnazileta wenyewe na kuzidiss wenyewe, full kushinda humu, yani pamoja na ndumba hamjiamini tu???? Haaahaaa poleni
 
Aisee haijawah tokea ni hizi ndumba za domo ndio zimetuchanginyi asije turogea kiba wetu burreeeeee

Mwenyezi Mungu amlinde Kiba aisee na kila aina ya dumba na kila baya lililoelekezwa kwake huyu Tale anaweza kufanya lolote. Shetani shindwa na ulegeee kwa kiba.
 
Nanukuu..

""sijawahi kuwa na sina bifu na alikiba""

""kila mtu anahaki ya kumchagua amtakae, uzalendo haununuliwi bali unatoka moyoni kwa mtu husika, kama unampigia davido au yeyote yule ni haki yako lakini kama unaona tuzo inafaa ije bongo nipigie""

""Nadhani mabishano ya mashabiki juu yetu sisi kwa sisi hayawezi kutupeleka popote, imefika wakati wafananishe wanamuziki wetu na davido, wizkid etc. ""

""unapoamini masuala ya ushirikina unamkosea mwenyezi Mungu, sina imani juu ya mambo hayo, ña mimi anachoamini babu tale siwezi sema nimzuie, kila mtu anahaki ya kuamini anachokiamini""

""Nguvu za wanaonichukia na kupiga kura kwa davido, ni bora pia wangetumia nguvu hiyo kuwapa support zaidi wasanii wetu,, mwakani tuwe na wawakilishi zaidi ya wawili""

""Huwa simtozi mtu pesa yeyote kwenye collable, na wala sijawahi tozwa... Nimefanya collable karibu na A list wote wa Afrika, nyimbo nyingi zipo tayari baadhi tu zinasubiri wakati wake kufanya video shoot, hata hivyo haziwezi kuachiwa achiwa tu, sababu tunataka kila mwaka mziki wetu uwepo kwenye chati kubwa za muziki""

baadhi ya alivyoongea president wa wasaaaaaaaaafi.... Mr. Icon
Chibu dangote 😄😄😄

Safii naona kaongelea ndumba pia, kama anadai ye mzalendo aanze kuheshimu tuzo za hom kwanza. Akishafanya hivyo aje ahubir uzalendo
 
Pumba mnazileta wenyewe na kuzidiss wenyewe, full kushinda humu, yani pamoja na ndumba hamjiamini tu???? Haaahaaa poleni

Ha ha... wafa maji mmepata kisingizio kwamba ndumbaa ....lambeni ndimuu

Kuja huku ni kwa yeyotee mimi kiba namweshimu.. sina tatzo na king ila nyinyi tim yake ambao kaz majungu
Siez mtukana wala mdis kibaaa...ila team stress
 
Huwezi mdiss sababu ni mfalme la sivyo utapotezwapotezwa mzee. Heshima kwa mfalme
 
Uzi wa kiba kaz kumjadil dai.... ha haaa kumbee mnampenda kimoyomoyo

Mimi nampenda dai wazi wazi, ila namkubali Ali Kiba kimziki.
Una swali?
Ulitaka tumchukie?
Tutajadili lolote hata mlipuko wa kipindupindu!
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!
 
Ms lincoln..hawa wanaojadili -----..ndio nadili nao
 
Back
Top Bottom