Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Ha haa lazima tuje kumake clearence ya pumba za hum kuhus dai... sjaja kujadil kuhus king kibaaa...
kajadili kwenye uzi wake we kichwa maji
Ha haa lazima tuje kumake clearence ya pumba za hum kuhus dai... sjaja kujadil kuhus king kibaaa...
Ndio maana hata mashabiki wake wachawi wachawi tuuu
Wanajadili nini, jazia basi hapoo
Futa kauli yako
Wanajadili nini, jazia basi hapoo
Futa kauli yako
Kashazoea..huyo. team stress
Huoni wanacho jadili? ?
Team stress vs team no stress..
Me nishawazoe hawa akili ndogo
Team ndumba
Futa kauli yako
Wanajadili nini, jazia basi hapoo
Sawa mnafanya nini kwenye sehemu ya wenye akili ndogo na stress. Nendeni kusiko na hayo mambo. Mkibaki huku na nyie wale wale.
Adui anafatwa alipo na kupigwa kwakeee...
Mkiita nyie watu wengine wachawi huwa mnafuta kauli zenu?
Sifuti.Pigia mstari
Hahaaaa wazee wa dumbaa. Mshindwe kwa Kiba.
Adui anafatwa alipo na kupigwa kwakeee...
Haha kumbe inaumagae.
Kumbe mna haki miliki na ndumba?Poleee... mwambie king azidishe juhud tuu..
Labda anaeza fikia walau robo..
atuachie ndumba zetuu..