Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
nimemuona mimi katoka kimasomaso,
uzuri anao na sura naitangaza hii leo,
waje waje wanafiki leo mtajionea,
yaliyosemwa jana yamejirudia haya,
unalia nini mwenzako nimeshajenga nyumba ya kuishi sisi wawili,
tujenge tuwe na famili,
waache waseme wewe leo uko na mimi,
natule hizi raha tusahau ya duniani.
#Alikiba-kimasomaso
uzuri anao na sura naitangaza hii leo,
waje waje wanafiki leo mtajionea,
yaliyosemwa jana yamejirudia haya,
unalia nini mwenzako nimeshajenga nyumba ya kuishi sisi wawili,
tujenge tuwe na famili,
waache waseme wewe leo uko na mimi,
natule hizi raha tusahau ya duniani.
#Alikiba-kimasomaso