sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
babu tale ni manager wa nani?.?
Haina haja umjueee..
babu tale ni manager wa nani?.?
Siku moja tu inaweza badilisha mchezo mbona una kichwa kizito kende!!!
Ng'ombe anenepi cku ya mnada coco
Naelewa, anasapoti vijana wenzie wanaojituma na wasio na nyodo. jamaa yako leo kakiri kuwa anatumia ndumba
Anaongezeka uzito kende, acha kukariri
Uzi wa kiba kaz kumjadil dai.... ha haaa kumbee mnampenda kimoyomoyo
Akiongeza uzito c atakunya coco
Aisee haijawah tokea ni hizi ndumba za domo ndio zimetuchanginyi asije turogea kiba wetu burreeeeee
Mkuu kwa lipi labda? ? ? Hata siku moja ronardo haez mroga mchezaj kama welbek
Kwa hiyo domo anamroga nani labda
Harogi yupo bize kufanya kazi...
Me nishawazoe hawa akili ndogo
Kazi na ndumba safi lakin inamsaidia ila uzur wa ndumba huwa zikigeuka, downfall yake si ya kitoto
Team stress vs team no stress..
Mwambien basi na king atumie
Hawa bado sn kufikia level za chibu dangote
Team stress vs team no stress..