😀😀😀😀😀😀😀😀 ww killed it hivi unajua king ni hataree juzi kenya kachafua halafu anaproject ya wild aid ambassador inabidi akutane na beckam prince william itakuwa balaa lupita nyonga tayari washakutana bado haoo wengine xo get prepared for it
Angekua kiba ni yule wa mtaa wa saba sasa hyo show off character kwanza na Hollywood actress hzo shobo plasi na Beckham. Kuna watu kuji onyesha na kujisifia kuko damuni.
Safi sana Kiba.
hawa jamaa sijui tatizo nn kama wa tz tunamchukia domo na kenya je mana juzi kwenye interview waliulizwa kiba na diamond nani mkali wakasema kibaaa na kofia wakampa ya king
Angekua kiba ni yule wa mtaa wa saba sasa hyo show off character kwanza na Hollywood actress hzo shobo plasi na Beckham. Kuna watu kuji onyesha na kujisifia kuko damuni.
Safi sana Kiba.