Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Whats wrong with u.? Watoto hamjanywa chai bado.

Heheheee shostito bhanaaaa.
Usipotezee maumivu.
Leo mwanaume pwilo kakupa makavu. Hana shida ya demu so kajipendekeze kwingine. Na pia kaka zangu humu ndani hawazami topeni so huku huna soko
 
Last edited by a moderator:
Nimeiona sehemu kumbe bado anabamba Huyu mwana

yani kenya na uganda mwana kama imetoka leo sema kiba hawezi akapost anaona kawaida ila jirani wetu ingekua kashapost tayari yani kiba mkimyaa hadi anaboa ukimzoea hupat shida
 
Attachments

  • 1436083065590.jpg
    1436083065590.jpg
    33.1 KB · Views: 62
unasema ni nani? kumbe data

Ndio huyo huyo data .
Unazani kwa nini ajajileta leta huku itakuwa ana wataka nyie mumpe huduma.
Si mumwambie tuu jaman kuwa nyie hamzani topeni?
Mwambieni bhanaa maana anavyojishaua apa mapozi mengi ili awanase tuu
 
Wew shostoto data usijidai kusoma kimya kimya njoo jitongozeshe kingereza hahahaaaaaaaa
 
ila jamaa hata akiwa no 1 clouds anapost ila kiba mi nawaambiwa huyu jamaa mkimyaaa saana hata bella alivyopost ile collabo alimind yani hataki exposure

kiba anafanya mambo kimya kimya sababu anajua anachofanya
 
Ndio huyuu ni dada poaaa

sasa c aende kwenye uzi wa domo akajiuze kule sasa anakuja huku au kule wote ni magasho kama yeye kama vp tuchangamkie fursa hiyoo au vp cute b
 
Last edited by a moderator:
Ndio huyo huyo data .
Unazani kwa nini ajajileta leta huku itakuwa ana wataka nyie mumpe huduma.
Si mumwambie tuu jaman kuwa nyie hamzani topeni?
Mwambieni bhanaa maana anavyojishaua apa mapozi mengi ili awanase tuu

hahahaha aende kwingine huku hatutaki
 
Kamekomaa hako ata ukienda 0713 utaumia tuu.
Kakwende zake hapa hamna wateja

😀😀😀😀😀😀😀😀 ww killed it hivi unajua king ni hataree juzi kenya kachafua halafu anaproject ya wild aid ambassador inabidi akutane na beckam prince william itakuwa balaa lupita nyonga tayari washakutana bado haoo wengine xo get prepared for it
 
Alafu kweli king ana plan kubwa sana
 
sasa c aende kwenye uzi wa domo akajiuze kule sasa anakuja huku au kule wote ni magasho kama yeye kama vp tuchangamkie fursa hiyoo au vp cute b

Hapana ana maradhi huyo data utaugua bureee
 
Last edited by a moderator:
Kati ya wanaume jf waliopewa jinsia ya kiume kwa kuonewa au bahati mbaya ni data yaan huyu angetakiwa awe wa kike yaan tena lishushushu.
Hakika mbegu iliharibika.
Heheheeee shost data mambo?

Hahaaaaa kweli tupu aisee mbegu iliharibika bora ingemwagiwa chini kabisa.
Hahaaaaaa halo ya shosti.......... Teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom