pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,567
- 14,633
Alafu kweli king ana plan kubwa sana
sasa kwenye ktma mwakani tunabeba zoootee kwa cheketua best collabo ya bella inakuja
Alafu kweli king ana plan kubwa sana
😀😀😀😀😀😀😀😀 ww killed it hivi unajua king ni hataree juzi kenya kachafua halafu anaproject ya wild aid ambassador inabidi akutane na beckam prince william itakuwa balaa lupita nyonga tayari washakutana bado haoo wengine xo get prepared for it
hawa jamaa sijui tatizo nn kama wa tz tunamchukia domo na kenya je mana juzi kwenye interview waliulizwa kiba na diamond nani mkali wakasema kibaaa na kofia wakampa ya king
Wew shostoto data usijidai kusoma kimya kimya njoo jitongozeshe kingereza hahahaaaaaaaa
wimbo wa ukweli sana
wimbo wa ukweli sana
Angekua kiba ni yule wa mtaa wa saba sasa hyo show off character kwanza na Hollywood actress hzo shobo plasi na Beckham. Kuna watu kuji onyesha na kujisifia kuko damuni.
Safi sana Kiba.
Huo wimbo noma sanaaaa, hauchuji yaani, ila unadhani kwanini wanamchukia? Si kwa mabalaa kama hayo.
sasa huo wa bella mpaka sasa hawajui wauiteje jinsi walivyofunika (best collabo of the year )
Kwa mama yako?
Hahaaaaa kweli tupu aisee mbegu iliharibika bora ingemwagiwa chini kabisa.
Hahaaaaaa halo ya shosti.......... Teh teh teh.
haaa sawa ila usizoeane nae sana mana tabia zake kama alshabab
Hahahaa,, we binti unanitaka eeh! Hao watoto sina mda jibizana nao.
Umu ndani swalama?? My cute b?! Nmekuja kusalim tuuu mimi timu jirani ila naiheshim hii kambi....one love for king kiba