Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

we gasho nn msengerema we kama dume badilika kama ni ke sawa ila ww dume zima unaandika mipasho gasho mmoja ww halafu usiniquote kiboya mbona mi sijakukot boya mmoja we ni ---- dume unakuwa na genye kiasi hicho khanisi ww dont kot me chukua tyme yako

Uwiiiii sijawahi mwona pwilo wangu amechukia hakika leo umekasirika.
Basi myn kuwa mpole achana nako hako ka dada data.
 
Last edited by a moderator:

Hah..!! Ama kweli kichaa si lazima aokote makopo.
 
Kati ya wanaume jf waliopewa jinsia ya kiume kwa kuonewa au bahati mbaya ni data yaan huyu angetakiwa awe wa kike yaan tena lishushushu.
Hakika mbegu iliharibika.
Heheheeee shost data mambo?
 
Last edited by a moderator:
Whats wrong with u.? Watoto hamjanywa chai bado.
 
Uwiiiii sijawahi mwona pwilo wangu amechukia hakika leo umekasirika.
Basi myn kuwa mpole achana nako hako ka dada data.

huyu jamaa anazingua saaanaa mi nilifikiri ni hapa tu kunasehemu kanikot bila sababu ya msing na matusi juu sasa mambo gani tunatukanana we mpende domo (mnigeria) mi kiba kunatatizo sasa tunapeana mipasho ya nn
 
Last edited by a moderator:
mbona balaa

hawa jamaa sijui tatizo nn kama wa tz tunamchukia domo na kenya je mana juzi kwenye interview waliulizwa kiba na diamond nani mkali wakasema kibaaa na kofia wakampa ya king
 
Attachments

  • 1436082207117.jpg
    1436082207117.jpg
    25.8 KB · Views: 70
hawa jamaa sijui tatizo nn kama wa tz tunamchukia domo na kenya je mana juzi kwenye interview waliulizwa kiba na diamond nani mkali wakasema kibaaa na kofia wakampa ya king

#kingkiba himself. nawait hiyo coke studio
 
Back
Top Bottom