Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Mtani atoto habari za masiku?Sweetheart whr have you been? Miss you
Last edited by a moderator:
Mtani atoto habari za masiku?Sweetheart whr have you been? Miss you
Haya mkimaliza msisahau kumpigia kura mwanaume wa taifa Mr. Icon diamond mtv na UEA
mic u too lady...ila naona uzi wetu umeingiliwa jamani.
Karibu tu cheketue kwa raha zetu.
#ChekechaaaaCheketuaCheketuaring .
With the Kiba u gonna love it. Haya chekecha
King aiseee, ona alivyorelax
Yani umeingiliwa na vidudu watu aisee. Hafu na wewe unajua kupotea huku ka nini.
Yani umeingiliwa na vidudu watu aisee. Hafu na wewe unajua kupotea huku ka nini.
me nipo ila mambo yanabana tyuu so huwa nakosaga muda wa kucomment diva,vipi lakini uko poa?
hawa jamaa bhana...utasema hawana uzi wao.
Karibu tu cheketue kwa raha zetu.
#ChekechaaaaCheketuaCheketuaring .
With the Kiba u gonna love it. Haya chekecha
Niko biyeee kabisa. Nili miss uwepo wako huku.
Hawa hawajiamini na mtu wao wanafikiri tunashindana nao. Na wana ugonjwa wa kutokubali wengine wavishabikiao. Inabidi tuwazoee tu hamna jinsi.
Na hyo ndo sababu inayonifanya nizidi kumpenda zaidi.
dah!...alafu kile kichupa cha kingkiba ni homaaa asee.
Karibu tu cheketue kwa raha zetu.
#ChekechaaaaCheketuaCheketuaring .
With the Kiba u gonna love it. Haya chekecha
Diva uliona jana wakenya wanavyomuongelea King? Yaani daaah walinipa rahaaaaaa, wanamkubali mnooo king, i love this.Niko biyeee kabisa. Nili miss uwepo wako huku.
Hawa hawajiamini na mtu wao wanafikiri tunashindana nao. Na wana ugonjwa wa kutokubali wengine wavishabikiao. Inabidi tuwazoee tu hamna jinsi.
Hivi kumbe tokea kichupa kitoke haujaonekana humu, aiseee we acha tu hapa ndio nakiwatch
Asikate tamaa, akazane siku moja na yeye atafika huku kwa Mr. Icon
dah!...alafu kile kichupa cha kingkiba ni homaaa asee.
Hawa ni kuwazoea tu watu tumetofautiana uelewa sana.ndo ivyo diva hiyo ndo habaree yao.
Jamani Kiba namukubali balaa yani nyimbo zake hujizujilia kuzitunga sana. Yani kwa mashairi tu ka ule wimbo wa mwana pale aliposema, mwenda tezi na homo marejeo ngamani alinifurahishaje sasa inabidi BAKITA wamu recognize kwa kukuza kiswahili kwa misemo yake loh.Unaacjaje kumpenda King jamani!! Labda kama una matatizo yako binafsi na king.
Hahaaaaa kwani amekwambia anashindana. No need ya Ku prove kuwa yeye ni better or chochote atajisumbua tu na pyschlogical torture.