data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,884
Kwanini daily unatafta ugomvi wa kijinga. Acha mambo yako husikii aibu.
Wewe ni trouble maker.
how..!? Em tizama maneno ya wenzio Diva Beyonce iii.!
Last edited by a moderator:
Kwanini daily unatafta ugomvi wa kijinga. Acha mambo yako husikii aibu.
Wewe ni trouble maker.
Nna shida yakunyoa izo naniliuu zako unasemaje???
Vizuri kabisa hyo ni best solutions ya Ku avoid unnecessary troubles. Kupotezea kuzuri kuepuka ugomvi.
😱😱😱😱 kumbe ni kavulana!!! No wayyyyy!!! Au umemfananisha?
how..!? Em tizama maneno ya wenzio Diva Beyonce iii.!
Wewe ni mgomvi mtu hakufurshishi kuna sehemu ya Ku ignore. Acha mambo yako ya ajabu
Kavulana akoo mamy
Wewe ni mgomvi mtu hakufurshishi kuna sehemu ya Ku ignore. Acha mambo yako ya ajabu
Wewe ni mgomvi mtu hakufurshishi kuna sehemu ya Ku ignore. Acha mambo yako ya ajabu
hapo ndipo tatizo linapotokea, unabishana na mtu mwingine jf, unaingiza masuala ya kiba na diamond.. wtf???
Kavulana akoo mamy
Hebu nionyeshe nilipomuingiza daimond kwenye hyo issue. After all who iz domo by the way. Uniwaaache sijamtaja popote relax punguza mahabati
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...
Kama hutaki igeuke kuwa diamondplatnumz special thread, wewe ndio wa kuifanya king kiba special thread,
watch out
OwK!...lady,i hope each and everything gonna be fine too.
Hamna cha mshale panga wala nini hapo. Mambo ya domo peleka kwenye Uzi wake huko mi nacheketua kwa raha zangu na #kingKiba .
Chekecha, cheketua cheketuaring with Kiba himself
Diva Beyonce keep cheketuaring, achana na vinuka nini vile walijisemea??
Hayaaa chekecha cheketuaaaa
Yeah tuzidishe tu juhudi na maombi, missed you
mic u too lady...ila naona uzi wetu umeingiliwa jamani.