Hamna cha mshale panga wala nini hapo. Mambo ya domo peleka kwenye Uzi wake huko mi nacheketua kwa raha zangu na #kingKiba .
Chekecha, cheketua cheketuaring with Kiba himself

Kawaida si unajua tena wazee wa mashindano humu ndipo pa kujifariji, vipi ile isue ulifanikisha? Mie bado inaniletea maluweluwe, hebu nenda kanielekeze cha kufanya