Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nashangaaa kumpenda Kiba imekua crime kubwa sana. Huyo aliyekuuliza Kiba kakupa nini alikua anafikiria nini? Kiba nimpendeacho ni mziki mzuri, na sauti ya kumtoa nyoka pangoni.
Kiba atawasumbua bureee si ndo tunavompenda hvo alivo.

Sijui alitaka nimjibu nn aisee.
Wanaumia bure tu mie kwa kiba niko nyang'anyang'aaaaaaaaa, teh teh teh
#chekechavibes
 
Wanaanzaje kuacha kufuta sasa.
Yaan mimi sina hamu ata na celebrity
Waendelee tu kufuta comments jukwaa limekua na mambo ya ajabu hili hata halinogi. Yani huku celeb kinachonifanya nitie timu ni uu Uzi wa Kiba tu sasa ka wanafta na comments mbona majanga yakufukuza watu tena.
 
Oyaaa madetective vipiiii?!!
Tunataka tumjue huyo moderator mfuta comments. Nina hasira nae manineeeer!!
Yaani nashindwa hata kukoment vitu vingine!
Acha wafute, ni comments tu not our love to the King maana hilo hawana uwezo nalo

Hivi kafuta tena comments ngoja nicheki. Kinachomfanya awe anafuta nini utoto mwingine bwana.

Mishahara midogo stress tupu, ndio hasira wanamalizia humu.
 
Acha wafute, ni comments tu not our love to the King maana hilo hawana uwezo nalo



Mishahara midogo stress tupu, ndio hasira wanamalizia humu.

Hawa sijui vipi wana bore sana yani huku celebrity uu Uzi ndo unanifanya nipitie huku.
Sasa mishahara yao kiduchu ndo watuftie comments zetu.
 
Hilo ni mazwafantwa ni limbululaz linatafuta tuu kick dia hamna cha zaidi.
Lina hamu nili quote nalipotezea basi ndo linaji commentisha ili tulijibu.

Uwa anajifanya mjuaji sana uyo
 
Linajifanya kweli lijuaji kumbe ni kibuyu tuu na ndo lijinga jf nzima mbona inajulikana....
Hahahaa ana ki broken nglish chaki mweee akianza kukiongea utazani mtoto wa pre.

Hahaaaaaa umeua kabisa. Safi ulivompotezea.
 
Back
Top Bottom