Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Bonge moja la kichupa uyo chibu sasa anavotaka sifa

Ninoma yani hii video" hata huoni pakutoa dosari soon itaingia trace top 10 thn mondi atakua na ngoma 3 mule. Mondi 3 - 0 .... haha
 
Attachments

  • 1435921951370.jpg
    1435921951370.jpg
    51.6 KB · Views: 144
""si ulitaka chai chai kwanini ulalamike unaungua"" jamani anaejuwa jina la wimbo huu
 
Hahah wako wanapambana huku IG kwenye account ya Kcee nimewafuma.

Hahahahaha mkuu we mchokozi sana daah.. basi inatakiwa ifanyiwe remix ndio itakuwa poa kcee ft. diamondplatnumz & alikiba wooooooyoooooo atoto nifah cute b abou sydou au mnaonaje wadau, hizi team zitatokomea hapooo
 
Last edited by a moderator:

Mkuu huoni sauti ya kwaswida haifit mule. Labda ifanyike ngoma mpya alaf c unajua king magitaa mengi anarecord ngoma studio kama live band itamsumbua Kcee. Kiba anafit collabo na Fally Pupa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha mkuu we mchokozi sana daah.. basi inatakiwa ifanyiwe remix ndio itakuwa poa kcee ft. diamondplatnumz & alikiba wooooooyoooooo atoto nifah cute b abou sydou au mnaonaje wadau, hizi team zitatokomea hapooo

Jirani tumewaachia uwanja mfanye wht you guys can do beta (fujo) sasa mbona unatuita tena? Vp mmechoka ama? Au mmefungiwa kuingia kwenye zile ac mnazovamiaga?
Jirani uwanja wako jimwageeeeee ukichoka kakojoe ulale, sawa jirani mpendwa!!
 
Last edited by a moderator:
Jirani tumewaachia uwanja mfanye wht you guys can do beta (fujo) sasa mbona unatuita tena? Vp mmechoka ama? Au mmefungiwa kuingia kwenye zile ac mnazovamiaga?
Jirani uwanja wako jimwageeeeee ukichoka kakojoe ulale, sawa jirani mpendwa!!

well sio poa namna mambo yanaenda ndio maana umeitwa utoe maoni yako unaonaje ikifanyika remix pale, vi bifu na mashindano yasiyo na msingi yaachwe tuwe wote team kibamond... Au mnafurahi kuona diamond na vanessa kutuwakilisha pekeyao wakati kuna majembe ya kutosha Tz...

Au nyi mnamtaka wizkid??
 
We unaonaje jirani? Hebu jadilini mtatupa mrejesho, sawa jirani.
Alafu kwani tz wanamuziki ni kiba, ndomo na vanessa tu??? Hebu dilini na hao wengine kwanza if yo realy serious, am done.
 
Jirani tumewaachia uwanja mfanye wht you guys can do beta (fujo) sasa mbona unatuita tena? Vp mmechoka ama? Au mmefungiwa kuingia kwenye zile ac mnazovamiaga?
Jirani uwanja wako jimwageeeeee ukichoka kakojoe ulale, sawa jirani mpendwa!!

Hahaaaaa kumbe wanashindana na kukimbizana kwenye nyuzi. Mweeeh pole yao aiseee sie malumbano ya kijinga hatuna wacha wajimwaye. Kuliko kujibizana ka watoto wanaoringishiana JoJo.
 
We unaonaje jirani? Hebu jadilini mtatupa mrejesho, sawa jirani.
Alafu kwani tz wanamuziki ni kiba, ndomo na vanessa tu??? Hebu dilini na hao wengine kwanza if yo realy serious, am done.

Hawawezi kujadili wenyewe mana wanashindana plasi kujitoa ufahamu. Ni vzuri wawe wanajadili wenyewe sie mahater tuwaache walifikiri na sie tutaanza kuponda kimakusudi ka wao kwa kiba poleee zao.
 
Nimegundua humu ndani watu wanakesha kwenye huu uzi na hakuna cha maana wanachoandika tofaut na kule upande wa pili at least unawezajifinza kitu......Badiliken jaman wengine hatuna team tunaingia ili kujifunza kutokana na comments zenu.....Nampa gwala Abou Seydou anaandika vitu ambavyo ukivipitia hutok kapa.
Ni hayo tu jamani msijenge chuki ni mtizamo wangu tu.
 
Hahaaaaa kumbe wanashindana na kukimbizana kwenye nyuzi. Mweeeh pole yao aiseee sie malumbano ya kijinga hatuna wacha wajimwaye. Kuliko kujibizana ka watoto wanaoringishiana JoJo.

Ndio hapo mie nimemshangaa!! Akafungue uzi basi maana si ndio kazi yao, tumewaacha wajadilianeeeeee hicho kinachowakereketa wamalize haja zao, sasa mpaka kutuita ni nini km sio upashukuna??
 
Back
Top Bottom