Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Linajifanya kweli lijuaji kumbe ni kibuyu tuu na ndo lijinga jf nzima mbona inajulikana....
Hahahaa ana ki broken nglish chaki mweee akianza kukiongea utazani mtoto wa pre.

Hahahaaaa ni wakumfundisha adab uyo maana ukimkalia kimya anaona unamuogopa
 
Hilo ni mazwafantwa ni limbululaz linatafuta tuu kick dia hamna cha zaidi.
Lina hamu nili quote nalipotezea basi ndo linaji commentisha ili tulijibu.

Naanzaje tafuta kiki, hunijui sikujui...!!
 
Hahahaaaa ni wakumfundisha adab uyo maana ukimkalia kimya anaona unamuogopa

Unazani hilo bogaz linaelewaga sasa. Yaani kati ya wanaume jf ninaowadharau huyo ndo nambw mojaa lijinga na halijasoma kama mzee lomolomo.
Limwanaume limekalia unafik kama litoto la kike halifanyi kazi kutwa nzima linaachia mashuzi tuu kama nguruwe lililovimbia .
 
Linajifanya kweli lijuaji kumbe ni kibuyu tuu na ndo lijinga jf nzima mbona inajulikana....
Hahahaa ana ki broken nglish chaki mweee akianza kukiongea utazani mtoto wa pre.

Kumbe ki ingilishi kwako ni newz!;?

Girl!!?
 
Unazani hilo bogaz linaelewaga sasa. Yaani kati ya wanaume jf ninaowadharau huyo ndo nambw mojaa lijinga na halijasoma kama mzee lomolomo.
Limwanaume limekalia unafik kama litoto la kike halifanyi kazi kutwa nzima linaachia mashuzi tuu kama nguruwe lililovimbia .

😱😱😱😱 kumbe ni kavulana!!! No wayyyyy!!! Au umemfananisha?
 
Vizuri kabisa hyo ni best solutions ya Ku avoid unnecessary troubles. Kupotezea kuzuri kuepuka ugomvi.

Kwakweli, acha ajitongozesheeeeeee genye zikimuisha akakojoe alale, ila kabla ya kulala aoge maana pale mwanzo kasema ana hilo tatizo.

Chekecha cheketuaaaa, alafu nimekumbuka le mi cheketua kidogo
 
Back
Top Bottom