Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

You cant be serious bwana ni wavulana hao!!😱😱😱
Hamna bwana sidhani na kama ni wavulana basi inabidi tukazane sana kwenye malezi na maombi maana hali ni mbaya.

Upumbavu ukizidi
nasema hivi

"Na waliwe tu macho yao "
 
Naona watu wanajitekenya na kucheka wenyewe!!! Hahahaaaaa

Hayaaa chekecha cheketuaaaaa

Ha ha ha
Waache wajichetue.
Ujinga ujinga tu na upuuzi.
Watu wazima kujifanya kama watoto wadogo.
Yani kisa ushabiki tusifanye mambo mengine?
Tusifanye kazi, tusiishi maisha halisi na kufanya shughuli za kila siku tubaki humu mchana na usiku kubishania ujinga ujinga!!
Mxiiiu zenu!
Get bizzy chicks life is tough! 😡😡😡😡
 
Ukitembea na punguani kama ukipona sanaa utakua taahira.
Yani sijui kazi wanafanya saa ngapi?
Naona hata usiku siku hizi hawatiwiwii maana kutwa kuchwa wapo humu!

Kazi wazipate wapi!! Kuuza njiwa kukidoda ndio wanajifariji humu na kutazama video ya cheketua, we angalia hizo convo zilikuwa za saa ngapi ndio utawaonea huruma ambavyo Kiba anawahenyesha, hivi shule hazijafungiwa?
 
PHP:

Morniiiiiiiiing to all!
Pamoja na mashankupe woteee

You cant be serious bwana ni wavulana hao!!😱😱😱
Hamna bwana sidhani na kama ni wavulana basi inabidi tukazane sana kwenye malezi na maombi maana hali ni mbaya.

Upumbavu ukizidi
nasema hivi

"Na waliwe tu macho yao "

Ha ha ha
Waache wajichetue.
Ujinga ujinga tu na upuuzi.
Watu wazima kujifanya kama watoto wadogo.
Yani kisa ushabiki tusifanye mambo mengine?
Tusifanye kazi, tusiishi maisha halisi na kufanya shughuli za kila siku tubaki humu mchana na usiku kubishania ujinga ujinga!!
Mxiiiu zenu!
Get bizzy chicks life is tough! 😡😡😡😡

Ukitembea na punguani kama ukipona sanaa utakua taahira.
Yani sijui kazi wanafanya saa ngapi?
Naona hata usiku siku hizi hawatiwiwii maana kutwa kuchwa wapo humu!

njooo chimbo faster na Abou Saydou

Kazi wazipate wapi!! Kuuza njiwa kukidoda ndio wanajifariji humu na kutazama video ya cheketua, we angalia hizo convo zilikuwa za saa ngapi ndio utawaonea huruma ambavyo Kiba anawahenyesha, hivi shule hazijafungiwa?
PHP:
haya wote kwa pamoja...... cheke cheke cheke chekeeeeeeeeee cheke cheke chekeeekeekeekekekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huo ni wimbo wa waganga wa kienyej ama?
 
Back
Top Bottom