Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hii video blaza aangeishoot Bongo tuu

Meza viwembe kama umekereka, bahati nzuri Team Kiba tupo wataalam wa haya mambo, kwenye film industry hakuna wa kunidanganya kitu, nimebadilisha kazi tu ujuzi haufi na sijawahi kufanya kazi hii Bongo hata siku moja. Hudanganyi mtu hapa.
 
Nimefanya kazi ya Cormecial advertisement for Tv kuanzia mwaka 1998 mpaka 2003 five years net nchi za watu.

Video ya Kiba siyo simple kama unavyotaka kuamini, kukodisha vitu vya zamani ni gharama sana nchi za wenzetu.

Nikiwa kwenye kazi hizi art department tuliwahi kufanya tangazo moja lionekane la miaka 100 iliyopita, nilishiriki kuzunguka nje ya miji kukusanya mavazi na masanduku ya kizamani kuna watu wanavitunza for hire, na walioshiriki Tangazo walilipwa pesa vizee kutoka mataifa mbalimbali ili kukamilisha Tangazo na mchanganya rangi wetu ana uwezo wa kuchanganya rangi gari mpya ikaonekana imechakaa kama ya miaka 30 iliyopita.

Kwa mfano Director akitaka hapo mtaani aliposhoot Kiba nyumba zionekane rangi fulani tulikuwa tunapaka rangi mpya ambayo wataalam wamependeka na baad
a ya shooting mwenye nyumba ndio atachaguwa ibaki rangi ile ile au ipakwe tena rangi ile iliyokuwepo awali.

Ngoja nipekuwa mafile yangu kuna kitu kipya wengi watajifunza hapa, ni kazi ambazo tumezifanya miaka 15 iliyopita ila Tanzania mpaka leo hakuna kampuni yeyote inayoweza kuset up tuliyofanya 15 years back.

Nachekaga kweli hata hall la kufanyia Tv talk show Wabongo bado hawawezi, anayekosoa video ya Kiba ni wakuonewa huruma.

Kikulacho ya Mr Nice ni moja ya video bora sana kwa watu ambao tumefanya kazi ya art kwenye shooting.

Unajua hii video u simple wake nilivoupenda nikitumia hayo materials ya mda mrefu ka hyo redio nakumbuka nikiwa mdogo walikua wanaita redio mkulima hayo magari ya zamani. In short nimeipenda sana kumbe kuya kodi ndo expensive hivo hizo assets za miaka ya nyuma.
Hata aliyetoa tu idea ya video ni kichwa pamoja na mazingira wengi hawaelewi themes nzima ya video wamezoea kufikiri video nzuri lazma iwe na wazungu,magorofa na lambojini.
 
Hahahaha wenzio mtaa wa pili bila kuona ferari au hammer basi lazima waseme video mbaya
 
atoto umesikia saut sol wameomba collabo kwa kibaa cc hatutegemei nigeria

Watu weweeeeeeee, hizi sasa ndizo colabo, yaani mafundi wanapokutana, sio waongeaji wa kwenye beat wanapokutana, aiiiii ngoja niendelee kucheketua miee
 
Last edited by a moderator:
Unajua hii video u simple wake nilivoupenda nikitumia hayo materials ya mda mrefu ka hyo redio nakumbuka nikiwa mdogo walikua wanaita redio mkulima hayo magari ya zamani. In short nimeipenda sana kumbe kuya kodi ndo expensive hivo hizo assets za miaka ya nyuma.
Hata aliyetoa tu idea ya video ni kichwa pamoja na mazingira wengi hawaelewi themes nzima ya video wamezoea kufikiri video nzuri lazma iwe na wazungu,magorofa na lambojini.

Nimeshafanya shooting South Africa, sipendi kujiexpose ila amini ninachokiandika kuipata redio kama hiyo na vitu vya zamani unawrza kudrive one hour ndio unafika kwenye miji midogo ya nje ndio unamkuta mzungu nyumbani kwake ana item zote za zamani na anaishi kwa kazi hiyo ya kukofisha vitu.

Kwa mji kama Cape Town ambao ndio film industry City kwa South Africa hao wazungu wakodishaji unawapata sehemu inaitwa Summer set West na George.
 
ngoja nikudokeze collabo ya bella na kiba inatoka eid na video yake halafu sasa chrisbrown

Weeeee kumbe kitu cha chriss ni kweli, Mungu wangu weeee sasa si king atafanya watu waimbe mdundiko, yaani tutazika watu mwaka huu ngoja niwaage mapemaaaaa, RIP haters.
 
Back
Top Bottom