Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

haaaa ni hivi chrisbrown kaomba nyimbo tatu za kiba azisikilize akatumiwa 1.single boy 2.mwana 3.hands across the world chriss yupo tayari so stay tuned for it surely
pwilo nakumbuka hii habari ililetwaga humu watu tukafurahi, weeee tulichambwa na magazeti hayoooo eti tumekurupuka na tukaambiwa tuendelee kuota, hivyo kama ni kweli mie nishazimia huku hata sielewi hii msg inajityp tu yenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Meza viwembe kama umekereka, bahati nzuri Team Kiba tupo wataalam wa haya mambo, kwenye film industry hakuna wa kunidanganya kitu, nimebadilisha kazi tu ujuzi haufi na sijawahi kufanya kazi hii Bongo hata siku moja. Hudanganyi mtu hapa.

Unataka kusema nini labda la tofauti saaana!!
 
Uwiiiiii na mkufwe tu kwakweli mana hakuna namna!!
 
huyo chriss brown anayetajwa ni chriss brown wa Congo au Sudan??? (emphasis supplied)
 
daah braza heshimu imani ya Mtu bosi,anae jua funga ya kweli ni Mungu peke yke na si vinginevyo sio busara kuanza kutoa hukumu za kipuuzi.

ukianza kui ngiza haya mambo ya kufunga mara nini sijui utakua unawakoseA waislam wote walio funga wanao ingia jf.

tuheshimu imani za wenzetu hata km ni wa team tofauti na yko.

jf tunapita tu!

Ok. Sorry.
But i mean to get her out of trouble.
 
Saa hz watu wanashusha nondo wametulia, kesho utawaona tu humu
 
huyu kiba anajua. zile suti mule ndani ni balaa sana
#chekechavideo
#kingkiba

COMING PROJECT 1Ali kiba ft chris brown (America) 2.Ali kiba ft Wizkid (nigeria) 3.Ali kiba ft Fally ipupa (congo) 4.Ali kiba ft christian bella (Tz) 5.Ali kiba ft R kelly (America ) 6.Alikiba ft Abdu kiba (Tz ) 7.Ali kiba ft Akon (America) 8.Ali kiba ft stanley (Ghana) 9.Alikiba ft cabosnop (Angola) 10.Ali kiba ft sean kingston (jamaica ) 11.Alikiba ft Ay (Tz) 12.Alikiba ft 2face (nigeria) 13.Ali kiba ft saut sol , victoria kimani(Kenya) atoto Matola peterchoka nifah cut b Diva Beyonce Th Name unanitaka Mdakuzi piteni hapa ngoja niwaonjeshe moja
 

Attachments

  • 1435696584787.jpg
    1435696584787.jpg
    28.8 KB · Views: 72
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom