Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

COMING PROJECT 1Ali kiba ft chris brown (America) 2.Ali kiba ft Wizkid (nigeria) 3.Ali kiba ft Fally ipupa (congo) 4.Ali kiba ft christian bella (Tz) 5.Ali kiba ft R kelly (America ) 6.Alikiba ft Abdu kiba (Tz ) 7.Ali kiba ft Akon (America) 8.Ali kiba ft stanley (Ghana) 9.Alikiba ft cabosnop (Angola) 10.Ali kiba ft sean kingston (jamaica ) 11.Alikiba ft Ay (Tz) 12.Alikiba ft 2face (nigeria) 13.Ali kiba ft saut sol , victoria kimani(Kenya) atoto Matola peterchoka nifah cut b Diva Beyonce Th Name unanitaka Mdakuzi piteni hapa ngoja niwaonjeshe moja

we are waiting #kingkiba
 
Last edited by a moderator:

duh! hatari(kwa sauti ya dogo wa tangazo la airtel)
 
seriously done deal ila kiba sijui yupoje alipotuma hicho kipande insta kiba alimaind chek hapa majibizano
 
Attachments

  • 1435697179929.jpg
    1435697179929.jpg
    49.4 KB · Views: 77
COMING PROJECT 1Ali kiba ft chris brown (America) 2.Ali kiba ft Wizkid (nigeria) 3.Ali kiba ft Fally ipupa (congo) 4.Ali kiba ft christian bella (Tz) 5.Ali kiba ft R kelly (America ) 6.Alikiba ft Abdu kiba (Tz ) 7.Ali kiba ft Akon (America) 8.Ali kiba ft stanley (Ghana) 9.Alikiba ft cabosnop (Angola) 10.Ali kiba ft sean kingston (jamaica ) 11.Alikiba ft Ay (Tz) 12.Alikiba ft 2face (nigeria) 13.Ali kiba ft saut sol , victoria kimani(Kenya) atoto Matola peterchoka nifah cut b Diva Beyonce Th Name unanitaka Mdakuzi piteni hapa ngoja niwaonjeshe moja

Whaaaaaaaat!!!
Hawajafungua thread tu? Au hawajaona? Hahahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Zile notes za kiswahili angezitoa kopi tu awape vijana wa BRN.
He has written alot but out of topic.
page 677 kasome, kuna mtu wa kuitwa Mdakuzi kashusha nondo za kutosha, usipoelewa na hapo basi tena
 
Last edited by a moderator:
COMING PROJECT 1Ali kiba ft chris brown (America) 2.Ali kiba ft Wizkid (nigeria) 3.Ali kiba ft Fally ipupa (congo) 4.Ali kiba ft christian bella (Tz) 5.Ali kiba ft R kelly (America ) 6.Alikiba ft Abdu kiba (Tz ) 7.Ali kiba ft Akon (America) 8.Ali kiba ft stanley (Ghana) 9.Alikiba ft cabosnop (Angola) 10.Ali kiba ft sean kingston (jamaica ) 11.Alikiba ft Ay (Tz) 12.Alikiba ft 2face (nigeria) 13.Ali kiba ft saut sol , victoria kimani(Kenya)

Hahahahahahahahahah msanii chipukizi anakazi kweli. C hamtegemei collabo? Nick Minaj alitaka milioni 600 kutoka kwa Kcee kwa ajili ya Collabo mwaka jana Kcee akatoka nduki" Chris Brown akitaka M200 kwa kiba c atakaa miaka 10 kama video ya M20 kwa director chipukizi mmekaa miezi 6 mkisubir hzo collabe mtaweza na wa marekeni"
 
done deal done kiba bwana sasa anakaa nazo zote za nn fumuaaaa

Tulia taratiiiibu wataelewa tu, ila mie nilimwambia mdakuzi hivi vichwa hewa hawawezi elewa, ona sasa washaona ni notes, hahahaaaaa kudeal na hawa watu ni taabu ila sasa tutafanyaje ndio watz wenzetu sasa!! Tuwavumilie tu.
 
hao ni bora vichaa wanaelewa kuliko hao et video waliiona kipande tu wakaiponda atoto usiku mwemah
 
Last edited by a moderator:
seriously done deal ila kiba sijui yupoje alipotuma hicho kipande insta kiba alimaind chek hapa majibizano

Acha uongo chatting ya cabo snoop n Casper nyovest unasema ya kiba n cabo snoop au haumjui Casper nyovest 😀😀😀😀
 
COMING PROJECT 1Ali kiba ft chris brown (America) 2.Ali kiba ft Wizkid (nigeria) 3.Ali kiba ft Fally ipupa (congo) 4.Ali kiba ft christian bella (Tz) 5.Ali kiba ft R kelly (America ) 6.Alikiba ft Abdu kiba (Tz ) 7.Ali kiba ft Akon (America) 8.Ali kiba ft stanley (Ghana) 9.Alikiba ft cabosnop (Angola) 10.Ali kiba ft sean kingston (jamaica ) 11.Alikiba ft Ay (Tz) 12.Alikiba ft 2face (nigeria) 13.Ali kiba ft saut sol , victoria kimani(Kenya) atoto Matola peterchoka nifah cut b Diva Beyonce Th Name unanitaka Mdakuzi piteni hapa ngoja niwaonjeshe moja

Huu wimbo wa kiba n cabo snoop n wa mda sn
 
Last edited by a moderator:
seriously done deal ila kiba sijui yupoje alipotuma hicho kipande insta kiba alimaind chek hapa majibizano

Mbona iyo chatting n ya cabo snoop n msanii Casper nyovest not Ali kiba bhn
 
Back
Top Bottom