pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
huyu mtu hatari sana
hahaaa domo bwana et wakimataifa hataki tuzoooo haya sasa chekechachekecha
huyu mtu hatari sana
Mtu ukishamjua tabia yake una mu ignore tu kiroho safi wala haina haja ya kujibishana mbovu mbovu. Utaepuka ban zisizo za lazima
hahaaa domo bwana et wakimataifa hataki tuzoooo haya sasa chekechachekecha
Nitaweza mamy kwa imani.
Aimeeen
Mijadala kila kona wenye kusifu na kuponda hata huko you tube watu wanapeana nakozz tu, haha yessss big up kiba, hamna msanii aliyewahi kubreak the internet hapa bongo kupitia video yake kama ilivyotokea hii leo. Fanya kazi kijana, slowly but sure, usikurupuke kwa sababu tu unataka sifa.
Ngoja mazee wa takwimu wakujie, watahorojoka hapo hatari utadhani wanalipwa, just wait maana wale kujizuia ni mwiko viherehere vyao havina break
only in 12 hrs KINGKIBA
Hadi wasanii wenzie wanamuonea wivu wengine kuongea shit, hahahaaaa Kiba nakupenda jamani, all the atention ni kwa King of the best melody tu, acha waponde maana nazo ni sifa ati!!
Hahaaaaaa!! Mbona siwaoni wazee wa takwimu jamani
only in 12 hrs KINGKIBA
wataelewa tu. #chekechavideo ni noma
Si bora hata hao majirani tushawazoea.....sasa hawa mods ndo tuwadefine vipi kwa kutufutia comments zetu zisizo na hatia?!!
Ati wanaudhi sana aisee!
Ikifika kesho sasq ndo hatareeeeeee
look at this Th Name atoto cut b Diva Beyonce nifah@unanitaka peterchoka i have screeshotted some of coment very interesting one
Jiheshimu bas kijana.