Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sawa nifah sifanyi ivyo tena navaa miwani ya mbao.
Nakupendaga pia dear nampenda pia kiba...yaan adi nachukia mtu akimkashifu.
Naanza kuchukua mazoez mamy atoto na Ms.Lincoln washanikataza na wew pia leo na kaka zangu kibao humu ndani The Name, pwilo peterchoka.
Ivo basi kwanzia leo nipo kwenye mafunzo ya kuji control dear ukirudi unanikuta nishazoea.

Umenisahau na mimi kaka yako hahahahahahahah
 
Last edited by a moderator:
bumbum sio nyimbo hata we mwenyewe unajua ila ushabiki maandazi tu

Ila ndo ivyo ipo kwny best collabo kakatee rufaa MTV me npo kumckiliza olamide nyimbo inaitwa bobo yaan inapigwa trace hadi n shidaaaa kutoboa international n raisi sn km wasanii wa tz wakiamua
 
Embu tafuteni T.R ( Thread Representative).

Maana naona hapa kwenu kila mtu msemaji mkuu. Matola warumi wamekula chaka.

cc. atoto Ms.Lincoln Avemaria geniveros nifah . et.al

Ukome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa ujue nimekabwa na hii video kidogo nife nikasema cha kufia nini? Ndio ikabidi niingie maana sio kwa raha hizi za King kwakweli.

Ok dear...uwiiiiii naona mnazidi kaniweka huku tu.

hahahaha kingkiba sio mchezo ujue.
 
Moderator yupo youtube anacheketua, yaani chekecha imemchanganya hata hajui kipi cha kufanya hivyo akaamua afute tu comments fasta ajirudie youtube akacheketue, aii nani hapendi kucheketua na video of the year, ngoja nami nikacheketue kidogo.

Bora akachekechue tu huko na aache makusudi yake ya Ku delete comments.
Mie nachekechua zangu kwa raha zangu.
 
Upo serious n jamii forum:what: jifunze kwanza kuwa serious n maisha yko hustle for the paper boy hapa tupo just for fun don't panic we just started don't panic

ahaa kama haupo sirous kwa nn unapoteza mda wako humu ngoja nikuache hujielewi www
 
Weeeeeeee suala la kiba lipo serious hii ni kazi yake bana, yeyote anayeweka kigingi tunamndorobo tu

Bora umerudi nikakuona nikupe pongezi zako LIVE you know....
Wewe ni jembe la ukweli, trust me...
Unanifurahisha mnoooo, keep it up our unanitaka. ..
 
Last edited by a moderator:
Ukome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?

Hahahhaahah bas bas bana si tunaendeleza gurudumu hapa
 
Last edited by a moderator:
Ukome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?

Umemaliza mpz, mie nilifuta nlichomuandikia kabla ya kupost nikaamua kumuignore, eti nanibkakimbiaa!! Hahahaaaaa akitaka kuruka aagane na nyonga kwanza, yaani hawa majirani wana viherehere mke wa balozi kasingiziwa. Mxiiiiuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Ukome kunimention mpuuzi wewe, tena ukome kuanzia leo naomba usahau kabisa kama kuna id ya nifah humu JF.
Sitaki unafiki mimi....awepo msemaji asiwepo wewe kinakuuma nini?
Hii thread ni ya Kiba fans wote, huyo Matola na warumi ni members tu kama wengine.
Tena tuache tufanye tutakavyo, hicho cheo cha kutupa muongozo nani kakupa?
nifah nina hasira naye huyo Bloger acha tu
 
Last edited by a moderator:
Thats my cute b, thats y i love yuuuuu, say no to ban

Yaah kwanzia leo no ban kwangu yaani.
KWANZIA LEO NA WA CHUKI MSIKIE KABISA. SITA QUOTE TEAM NDOMO ATA ANIKASHIFU NITAJIFANYA MJINGA. SINTOKAAAAA.
JIBU LA MJINGA NI KIMYA TUU.
asante atoto
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1435684178821.jpg
    1435684178821.jpg
    6.3 KB · Views: 57
Yaah kwanzia leo no ban kwangu yaani.
KWANZIA LEO NA WA CHUKI MSIKIE KABISA. SITA QUOTE TEAM NDOMO ATA ANIKASHIFU NITAJIFANYA MJINGA. SINTOKAAAAA.
JIBU LA MJINGA NI KIMYA TUU.
asante atoto

Mtu ukishamjua tabia yake una mu ignore tu kiroho safi wala haina haja ya kujibishana mbovu mbovu. Utaepuka ban zisizo za lazima
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom