Avemaria hapo hata kasatifiketi huna je ukipata kadegree si tutakukimbia, hii akili kubwa mno ujue.Hahah some people bhana.
Eti anawaambia wenzie wana elimu ndogo....elimu ndogo compared to who??? Smh
Wewe mwenye elimu kubwa ndo ikoje? Ina ukubwa gani?! Mbona waonekana lafa tu!! Heheh ebu nitie kicheko cha sunna mie!
Alafu nawe Matola naona ka unazingua tu daily kujipendekeza mtaa wa pili.
Kwani ukimkosoa Kiba ni lazima ukajisifu kwa jirani? Huko ni kujikosha tu ndo ukae ukijua hata kama we unaona sifa FYI wanakuchora tu.
Kama mtu unaona Kiba anazingua si umteme tu kwani sh ngapi aseee??!
Wakosoaji hawako hivo ila watafuta sifa kwa nguvu ndo mmejificha under the umbrella of kukosoa!
Kula gwala halafu simwonagi akiwapa nakoz hawa wajingawajinga au kuanzisha thread ndio umemaliza hahaha yani ukiona mpinzani wako anakusifia ujue kuna walakin. Hata kwenye ktma sikumwona akimnadi kiba kisana au labda ni silent killer 😡😡😡😡:what:
Yaani we acha tu, hiki kipaji walah ni dhambi kubwa kutokukirecognize ndio maana majirani hawataki dhambi kutwa tuko nao humu wanamrecognize japo in a bad way ila wenyewe wanaujua ukweli mioyoni mwao, wanamkubali King vibaya mno na anawaendesha hatari, basi tu wanajitoa ufahamu.
Wanashindana na asoshindana si uendawazimu huo, acha awakimbize na inabidi wamshukuru sn King maana bila yeye wangelala, kawaamsha hatari.
Hebu na wote tuwe na adabu na tuseme "Hasante King"
Kula gwala halafu simwonagi akiwapa nakoz hawa wajingawajinga au kuanzisha thread ndio umemaliza hahaha yani ukiona mpinzani wako anakusifia ujue kuna walakin. Hata kwenye ktma sikumwona akimnadi kiba kisana au labda ni silent killer 😡😡😡😡:what:
Hivi wema jana kasemaje vile kuhu tuzo za KTMA juu ya kumpigia kura kiba... daaa wema bwana napenda kweli kipond chako
Wanajifaragua tu hao.
Na ndo maana wanatumia nguvu nyingi sana waendelee kuwepo kwenye ramani.
Asante King, energy kidogo mwitikio ewaaaa!!
Hahahaha Dai na management yake washapanic, oyoooooo kingKiba
Wao wanadhani kuimba kinaijeria ndio kimataifa, Twende Kiba hakuna kulala
#Rockstar4000 presents
Tunatofautiana sana umri humu, ukikuwa utaelewa tu kwa sasa hata kwa bakora huwezi kunielewa. Soma kwa bidii na maarifa utakuwa muelewa.
Nao hata waimbe sijui mdundiko ila washaisoma, King nikimbizie hawa watu wanaokimbia mbio wasizozijua! Alaaaaaa
Hahahahaha we ngoja nikuache mana timu chibu isijenivamia bureeee mana ndio watetezi wako. Anyway kama baridi kuwa baridi na kama moto ni moto, la sivyo unaonekana kungulu tu.
Mtasema yote mwaka huu, unajua kiba ni zaidi ya boss wako mondi ( ukitoa makolabo ya wanigeria ambayo wanampa msanii chipukizi mondi). Hii comment yako inaonyesha jinsi unavyosubir kwa hamu mfalme atakuja na kitu gani hhahhahaahha mbona huwa huzisubirii video za kina shilole na mziwanda. Chungu kumeza ila umejitutumua mzee, angalia trace kesho kisha ufungue thread.
Sawa Great thinker, una akili nyingi sana ubarikiwe.
Hivi kwanini alikiba akitangaza kutoa wimbo mpya au video huyu jamaa lazima aje na mambo ya "should I drop this one " cjui "u gonna love it " Mimi mpka Leo nasubiria kale kawimbo alichokitangaza na psquare kwa mtindo Wa should I drop this
Mwambieni aache kuwa na mawazo ya wavaa chachandu
Kiba anajulikana hapo mwananyamala kwenu. Nje ya hapo ni underground kama nuhu mziwanda tu...
Mi namshangaa huku kudrop video kila siku kunamshusha sana, hivi haoni tanzania nzima sasa inazizima kwa kusubiri cheketua??? Ajifunze kwa the #king kiba
Toka mda alisema After 3/month ana dondosha video mpya we mbona davido last year alitoa owo n Koko halafu akaja kutoa the sound sasa ivi ana fans mi ukiwa na ela everything is possible n library zpo nyimbo nyingine sn zina video tayari bado kuzifumua tu sio mnatoa audio video hata miezi 7 au mwaka toka audio itoke
Mwaka huu katoa Nasema nawe na Nana hizo mbili...
Mwana vipi si alishoot kwa god father??? amepata hata msanii chipkizi??
Dangote nitampata wapi imempa mtumbuizaji bora, bumbum imempa best collable, na consistency yake kumaintain mwaka mzima ameonwa kama mwanamuziki wa kiume bora zaidi...
Wizkid- crazy aliyoshirikishwa na sayshay imempa best collable, show you the money imempa best song, na consistency imempa best male
Davido mwaka jana katoa nae nyimbo nying tu shoki alishirikishwa imempa best song, collable na video the sound pamoja na best male... Still alitoa nyimbo nyingi aye, tchelete, naughty, owo ni koko, sasa diamond mdogomdogo, bumbum na ntampata wapi kwa mwaka unaona nyingi hahahahahahaha
masikini aliye na buku mfukoni, hata ukitumia 20000 tu anaona umefanya kufuru hahahaha ni uwezo tu